LGE2024 Mbowe anazungumza na Watazania muda huu makao makuu ya CHADEMA Dar es Salaam, akitoa tathmini ya Uchaguzi wa Serikali za Mitaa

LGE2024 Mbowe anazungumza na Watazania muda huu makao makuu ya CHADEMA Dar es Salaam, akitoa tathmini ya Uchaguzi wa Serikali za Mitaa

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024
Subiri Mkuu!!!! Ngoja kwanza huyu Mmachame aachie wadhifa halafu watu Kama kina Lissu na Heche waanze kazi ndio utajua kuwa tulichelewa sana kupata maendeleo kwenye hili Taifa
Acha kujipa imani kwa watu kwa nafasi ambazo bado hawajazitumikia.
 
Watanganyika,uwezo wetu wa kuona miaka 50 mbele,tuna tatizo.

Awamu ya pili,iliyumbisha nchi,hadi kuweza kujikomboa,Mkapa alilala macho miaka 10.


Hii awamu,ili tuje na tuweze kukomboleka ni miaka 20 mbele!
 
Mzee Mbowe apishe damu mpya.
Akupishe wewe au nani?.Hao mnaowapigia upatu msifikiri watafanya mambo ya tofauti labda kama mnataka chama kifutwe.Tatizo sio mbowe wala cdm bali ccm iliyohodhi siasa za kihuni ndo maana mambo yote hayo yanatokea.Kuwe kwanza na demokrasia sawa ndo tupime uwezo wa mbowe na tumhukumu kwa haki.
 
Back
Top Bottom