LGE2024 Mbowe anazungumza na Watazania muda huu makao makuu ya CHADEMA Dar es Salaam, akitoa tathmini ya Uchaguzi wa Serikali za Mitaa

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024
sina upendo na Mbowe, nina upendo na haki, mpigaia aki, demokrasia and the like
Kwa hiyo Mbowe likitokea lolote kuwa haiwezekani Tena kugombea au ameibwa na muumba chadema itakufa?
 
Mwambie Watanzania washasahau uchaguzi saiv wanawaza matokeo ya Simba na Yanga

Kwanza uyo kiongozi wa CCM B anataka kuongea nn
 
Wanamhangaisha na wako wote hapo, naona mnarukia story za vijiweni mnazileta humu.
anajikaza kisabuni dah ila moyoni joto ya jiwe anaipata haswa, halafu wanafiki wanamchora tu kama vile wako pamoja nae, dah 🤣
 
View attachment 3173593

Mbowe ni mwamba kabisa mtoto wa mjini amekuja mjini kutenengeza pesa. Aachi pesa.
Si Bora hata hiyo Kuna Ile ya Lowasa mwizi
Halafu huyo huyo Lowasa wakamsimamisha mgombea kiti Cha urais ndo niliposema siwezi kuwa tena katika Saccos ya kaskazini Abadani nikatupa na vikadi vyao uchwara.
 
Yupo anasema "script" iliyondikwa na maCCM! Kama kuna mtu hajashtukia siasa za Mbowe kuwa sio upinzani ni maigizo basi amka!
Ndio maana anaitumia neno "wenzetu" wanatekwa watu wako, wanauliwa, BAdo anaitumia polite lg yupo kibiashara huyo
 
Mbowe hana jipya, kila mwanachadema, na mpigania haki anajua sasa jamaa ni " shadow"
 
Huyu baba apumzike wa bongo anaowapigania wamelala
 
NO REFORM NO ELECTION....................CONFRONTATION, CONFRONTATION AND CONFRONTATION...
 
MITANO TENA KWA MBOWE
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…