Muuza Kangala
JF-Expert Member
- Jul 21, 2021
- 1,242
- 4,813
Siasa ya karne hii inahitaji elimu ili uweze kupambanua mambo na kuwa na hoja za msingi.
Vijana wa CHADEMA wengi elimu yao ni duni sana na ni watu wa kulalama kwa mkumbo tu bila kutumia akili sababu elimu ni hakuna.
Spika amezingatia misingi ya katiba maana hawezi kuenda kinyume na katiba ambayo ndio sheria mama lakini wao wanalaumu tu hii ni sababu hawana elimu ya kutosha na hawajui nini maana ya katiba.
Ndio maana hata Katiba ya CHADEMA ina maruerue lakini hawawezi kuhoji maana wao siasa uchwara na ushabiki ndio dili.
Huwezi kuwa na katiba inayompa kiongozi kuongoza bila ukomo halafu usioji kabisa. Elimu ni muhimu