UmkhontoweSizwe
Platinum Member
- Dec 19, 2008
- 9,454
- 8,894
Kweli jamaa alitupiga pabaya sana 😢Angalia mwaka 2015 alipovuta mpunga na kutuuza usiku wa manane na kumkaribisha Lowssa.
Alivuta mpunga Dka Slaa akabaki kuduwaa na kuropoka. Prof Safari umeona hiyoooo.