mafutamingi
JF-Expert Member
- Feb 14, 2011
- 2,773
- 2,183
Nyie Sukuma gang mbona mnaweweseka sana na Mbowe na mnamwach John Momose Cheyo ambaye amekuwa mwenyekiti wa UDP kwa muda mrefu zaidi ya ule ambao Mbowe amekuwa mwenyekti wa CHADEMA?Straightforward questions:
- Hivi kwanini Sukuma gang ndiyo wanaumizwa na Mbowe kuwa mwenyekiti CDM ilhali watu/wanachama/supporters wa CDM wanang'ang'ania aendelee?
- Watu wa CDM wanafaidika nini na Mbowe kuwa mwenyekiti na Sukuma gang wanaathirika nini katika harakati zao za kisiasa Mbowe anapoendelea kuwa mwenyekiti wa CDM?