Mbowe aondolewe kwa nguvu kama mwenyekiti wa CHADEMA. Amezoea kufanya biashara za kisiasa, hafai

Sukuma gang unahaha sana, Jiwe alivyodanja na mirija yenu ya kunyonya(extortion) ikakata.
Mtakufa kwa sonona.
 
Kala mlunguka wetu wana CCM, hahahah. Ila limbowe ni liuaji
 
Nenda kamwoondoe mmiliki wa kile chama kilichogawika kutoka cuf,🤔
 
Kama akiwaambia anakidai chama mtaweza kumlipa iliaondoke?.
Kama ni utani huo....nitachukulia hivyo
walakin, kama ni kweli hayo, basi ni sababu tosha ya kumng'oa na wala sio ya kuombwa, ni ang'olewe.

Tunaposema ana hulka za "utoto wa mjini' wa kujitutumua mnakasirika. Anang'ang'ania hicho cheo ili arejeshe uwekezaji wake? Toba walahi Sasa mnapoambiwa yupo kwa masilahi binafsi mnashupaza hoja za hovyo kabisa.

Anyways alisema mwenyewe mwanza, ametoa hela mpaka akachacha kiaina. Na hivyo anaomba wanachi wajitokeze kusaidia Chama, halafu nyuma yake anamtuma Lema kuja kuwatukana watu ambao wamekuwa mstari mbele kuwalipia luku Ufipa
Mbona CHADEMA vigoigoi
 
Chaga jizi hilo, CCM inalipenda sana kulilushia tonge,jibwa koko hilo
 
Vioja ni pale Mbowe anapokataliwa na chawa chipukizi wa uvccm
 
Anzisha na ww chama chako ili ufanye hayo unayoyasema kuhusu mbowe
 
WAJINGA MNAZIDI KIONGEZEKA KWA KASI HATA WEWE UNATUONYESHA UPUMBAVU WAKO?
 
Mkataeni Magufuli na Genge S.
 
Wewe ni mpumbavu na huna akili kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…