Mbowe aonekana Dar akiwa na polisi wakitaka kupekua nyumba yake

Quinine

Platinum Member
Joined
Jul 26, 2010
Posts
25,848
Reaction score
63,306
Polisi wenye silaha takribani 30 wamefika nyumbani Kwa M.Kiti Freeman Mbowe Mikocheni usiku wa saa 3 na dk 20 na wanataka kufanya upekuzi nyumbani, walipoulizwa kuhusu search warrant,hawana na hawapo na M/Kiti Serikali ya Mtaa wanatishia kama hawatafunguliwa wanavunja mlango.

324D7071-5979-4097-B074-562D6D3DC247.jpeg
 
Sasa cha ajabu ni kipi hapo au kuwa Mwenyekiti wa chama ndio hutakiwi kukaguliwa..!??

Alafu tumieni ile nyembe mliyokuwa mnasema mmetumia kumnyoa Mwendazake muwanyoe hao polisi,,, mbona mnakuwa laini laini nyinyi wkt huku kwenye mitandao nyie ni zaidi ya Simba
 
Polisi wenye silaha takribani 30 wamefika nyumbani Kwa M.Kiti Freeman Mbowe Mikocheni usiku wa saa 3 na dk 20 na wanataka kufanya upekuzi nyumbani, walipoulizwa kuhusu search warrant ,hawana na hawapo na M/Kiti Serikali ya Mtaa wanatishia kama hawatafunguliwa wanavunja mlango.
Si mnao wembe...wanyoeni
 
Lete search warrant Acha maneno mingi
 
Sasa cha ajabu ni kipi hapo au kuwa Mwenyekiti wa chama ndio hutakiwi kukaguliwa..!??

Alafu tumieni ile nyembe mliyokuwa mnasema mmetumia kumnyoa Mwendazake muwanyoe hao polisi,,, mbona mnakuwa laini laini nyinyi wkt huku kwenye mitandao nyie ni zaidi ya Simba
Mpumbavu wewe!
 
Wewe utakuwa mataga!
 
Polisi wenye silaha takribani 30 wamefika nyumbani Kwa M.Kiti Freeman Mbowe Mikocheni usiku wa saa 3 na dk 20 na wanataka kufanya upekuzi nyumbani, walipoulizwa kuhusu search warrant ,hawana na hawapo na M/Kiti Serikali ya Mtaa wanatishia kama hawatafunguliwa wanavunja mlango.
Kwa hiyo m/kiti katekwa Mwanza kakimbizwa Dar kuja kupekuliwa!
Udikteta ni shiiida🙄
 
Sasa cha ajabu ni kipi hapo au kuwa Mwenyekiti wa chama ndio hutakiwi kukaguliwa..!??

Alafu tumieni ile nyembe mliyokuwa mnasema mmetumia kumnyoa Mwendazake muwanyoe hao polisi,,, mbona mnakuwa laini laini nyinyi wkt huku kwenye mitandao nyie ni zaidi ya Simba
Unakagua nini mfano
 
Kwa mujibu wa sheria ukitakiwa kukaguliwa sharti kuwe na mambo yafuatayo
1. Shahidi wako mkaguliaji

2. Shahidi wa mkaguaji

3. Mwenyekiti wa s/ mtaa

4. Muda usizidi SAA 12 jioni.

5. Kibali cha ukaguzi kilichotolewa aidha na mahakama au kiongozi wa juu wa jeshi la Polisi

6. Saini zinazoonesha Mali au vitu vilivyopatikana ndani mwako

Sasa wewe hujui chochote na unakomaa tu.
 
Back
Top Bottom