Mbowe aonekana Dar akiwa na polisi wakitaka kupekua nyumba yake

Sasa cha ajabu ni kipi hapo au kuwa Mwenyekiti wa chama ndio hutakiwi kukaguliwa..!??

Alafu tumieni ile nyembe mliyokuwa mnasema mmetumia kumnyoa Mwendazake muwanyoe hao polisi,,, mbona mnakuwa laini laini nyinyi wkt huku kwenye mitandao nyie ni zaidi ya Simba
Tatizo ni utaratibu ufuatwe search warrant na mkiti wa mtaa awepo mashahidi (majirani) wawepo.
 
Polisi wenye silaha takribani 30 wamefika nyumbani Kwa M.Kiti Freeman Mbowe Mikocheni usiku wa saa 3 na dk 20 na wanataka kufanya upekuzi nyumbani, walipoulizwa kuhusu search warrant ,hawana na hawapo na M/Kiti Serikali ya Mtaa wanatishia kama hawatafunguliwa wanavunja mlango.

Huyu mama na aendelee kulitafuta. Mwenye nalo si mwingine bali ni yeye. Uchaguzi ni wake nasi tumekubali.
 
Kama kiongozi mkuu wa upinzani anafanyiwa hivi..je inakuaje kwa raia wa kawaida..ila uzuri giza likizidi uje kumekaribia kupambazuka..hata roma ilianguka.

#MaendeleoHayanaChama
 
Polisi wenye silaha takribani 30 wamefika nyumbani Kwa M.Kiti Freeman Mbowe Mikocheni usiku wa saa 3 na dk 20 na wanataka kufanya upekuzi nyumbani, walipoulizwa kuhusu search warrant ,hawana na hawapo na M/Kiti Serikali ya Mtaa wanatishia kama hawatafunguliwa wanavunja mlango.
Wangevunja Mlango Nchi haina Sheria ni kama Somalia Katiba inachezewa kama Mdoli

Sent from my SM-J600F using JamiiForums mobile app
 
Polisi wenye silaha takribani 30 wamefika nyumbani Kwa M.Kiti Freeman Mbowe Mikocheni usiku wa saa 3 na dk 20 na wanataka kufanya upekuzi nyumbani, walipoulizwa kuhusu search warrant ,hawana na hawapo na M/Kiti Serikali ya Mtaa wanatishia kama hawatafunguliwa wanavunja mlango.
ccm inalazimisha vita kwa udi na uvumba
 
Polisi wenye silaha takribani 30 wamefika nyumbani Kwa M.Kiti Freeman Mbowe Mikocheni usiku wa saa 3 na dk 20 na wanataka kufanya upekuzi nyumbani, walipoulizwa kuhusu search warrant ,hawana na hawapo na M/Kiti Serikali ya Mtaa wanatishia kama hawatafunguliwa wanavunja mlango.
Nyoko zao, Wapuuzi hao this time tuta-deal nao privately
 
Polisi wenye silaha takribani 30 wamefika nyumbani Kwa M.Kiti Freeman Mbowe Mikocheni usiku wa saa 3 na dk 20 na wanataka kufanya upekuzi nyumbani, walipoulizwa kuhusu search warrant ,hawana na hawapo na M/Kiti Serikali ya Mtaa wanatishia kama hawatafunguliwa wanavunja mlango.
Yani kodi za watu zinatumika vibaya KWA Mambo mepesi ,hivi ni lita ngapi za mafuta zimetumika Mwanza ?
 
Back
Top Bottom