Dunia ni kijiji ndugu yangu, ingia Maria Sarungi Spaces watu wanadiscuss tukio la Mwanza live.Endelea kutupa taarifa,inaonekana upo eneo la tukio live.
๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐๐๐๐Humo watakuta nguo za Rose Mayemba tu
Si mnao wembe...wanyoeniPolisi wenye silaha takribani 30 wamefika nyumbani Kwa M.Kiti Freeman Mbowe Mikocheni usiku wa saa 3 na dk 20 na wanataka kufanya upekuzi nyumbani, walipoulizwa kuhusu search warrant ,hawana na hawapo na M/Kiti Serikali ya Mtaa wanatishia kama hawatafunguliwa wanavunja mlango.
Lete search warrant Acha maneno mingiSasa cha ajabu ni kipi hapo au kuwa Mwenyekiti wa chama ndio hutakiwi kukaguliwa..!??
Alafu tumieni ile nyembe mliyokuwa mnasema mmetumia kumnyoa Mwendazake muwanyoe hao polisi,,, mbona mnakuwa laini laini nyinyi wkt huku kwenye mitandao nyie ni zaidi ya Simba
Mpumbavu wewe!Sasa cha ajabu ni kipi hapo au kuwa Mwenyekiti wa chama ndio hutakiwi kukaguliwa..!??
Alafu tumieni ile nyembe mliyokuwa mnasema mmetumia kumnyoa Mwendazake muwanyoe hao polisi,,, mbona mnakuwa laini laini nyinyi wkt huku kwenye mitandao nyie ni zaidi ya Simba
Wewe utakuwa mataga!Sasa cha ajabu ni kipi hapo au kuwa Mwenyekiti wa chama ndio hutakiwi kukaguliwa..!??
Alafu tumieni ile nyembe mliyokuwa mnasema mmetumia kumnyoa Mwendazake muwanyoe hao polisi,,, mbona mnakuwa laini laini nyinyi wkt huku kwenye mitandao nyie ni zaidi ya Simba
Kwa hiyo m/kiti katekwa Mwanza kakimbizwa Dar kuja kupekuliwa!Polisi wenye silaha takribani 30 wamefika nyumbani Kwa M.Kiti Freeman Mbowe Mikocheni usiku wa saa 3 na dk 20 na wanataka kufanya upekuzi nyumbani, walipoulizwa kuhusu search warrant ,hawana na hawapo na M/Kiti Serikali ya Mtaa wanatishia kama hawatafunguliwa wanavunja mlango.
Endelea kutupa taarifa,inaonekana upo eneo la tukio live.
Unakagua nini mfanoSasa cha ajabu ni kipi hapo au kuwa Mwenyekiti wa chama ndio hutakiwi kukaguliwa..!??
Alafu tumieni ile nyembe mliyokuwa mnasema mmetumia kumnyoa Mwendazake muwanyoe hao polisi,,, mbona mnakuwa laini laini nyinyi wkt huku kwenye mitandao nyie ni zaidi ya Simba
Kwa mujibu wa sheria ukitakiwa kukaguliwa sharti kuwe na mambo yafuatayoSasa cha ajabu ni kipi hapo au kuwa Mwenyekiti wa chama ndio hutakiwi kukaguliwa..!??
Alafu tumieni ile nyembe mliyokuwa mnasema mmetumia kumnyoa Mwendazake muwanyoe hao polisi,,, mbona mnakuwa laini laini nyinyi wkt huku kwenye mitandao nyie ni zaidi ya Simba