Mbowe aonekana Dar akiwa na polisi wakitaka kupekua nyumba yake

Tatizo ni utaratibu ufuatwe search warrant na mkiti wa mtaa awepo mashahidi (majirani) wawepo.
 

Huyu mama na aendelee kulitafuta. Mwenye nalo si mwingine bali ni yeye. Uchaguzi ni wake nasi tumekubali.
 
Kama kiongozi mkuu wa upinzani anafanyiwa hivi..je inakuaje kwa raia wa kawaida..ila uzuri giza likizidi uje kumekaribia kupambazuka..hata roma ilianguka.

#MaendeleoHayanaChama
 
Wangevunja Mlango Nchi haina Sheria ni kama Somalia Katiba inachezewa kama Mdoli

Sent from my SM-J600F using JamiiForums mobile app
 
ccm inalazimisha vita kwa udi na uvumba
 
Nyoko zao, Wapuuzi hao this time tuta-deal nao privately
 
Yani kodi za watu zinatumika vibaya KWA Mambo mepesi ,hivi ni lita ngapi za mafuta zimetumika Mwanza ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…