mkulimamiwa
JF-Expert Member
- Mar 4, 2025
- 2,591
- 5,315
Kasaliti Mapambano??
Mungu ampe hekima ya kutambua kipawa chake ndani ya wito katika kuimboa Tanzania hasa kupitia Chadema
Nje na chadema hakuna ukombozi wa nchi yetu,
Nje na chadema, heshima yake inashuka mithili ya mamba kuwa nje ya maji