Pre GE2025 Mbowe arudisha fomu ya kugombea Uenyekiti CHADEMA

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
2004-2024 CCM Kimeongozwa na wenyeviti wanne tofauti(Mkapa, Kikwete, Magufuli & Samia). Kwa miaka hiyo ishirini CHADEMA Mwenyekiti ni huyo huyo tena bado anaongeza. Kati ya CCM na CHADEMA kipi Chama cha kidemokrasia?
 
DJ anapita mule mule kwa Kambarage, na ni Baba yake wa Ubatizo, like father like Son
 
Mbowe SACCOS, hakuna chama cha siasa hapo
Watoto wa Mama.jpg
 
DJ anapita mule mule kwa Kambarage, na ni Baba yake wa Ubatizo, like father like Son
Usisahau nyerere Aliongoza Tanu na ASP kwa hiyi kipindi anaongoza CCM ilikuwa Bado changa ilihitaji mtu wanayemuamuni zaidi..
Na sio CHADEMA chama kina miaka 33 Bado unagaka kuniambia hakuna watu wanaoweza kukiongoza bhasi wakifute
 
Longetivity ya Kambarage kwenye uongozi ina excuse ila kwa DJ hakuna. Hivi Mkatoliki anaruhusiwa kusimamia ubatizo wa Mlutheri?
 
we mzee kulikuwa hamna wasomi wa kuongoza chama? CDM ni chama cha ukoo, kitalindwa kwa gharama yoyote, Wakati Babu na Baba zao wanapambania Uhuru wa nchi nyie baba zenu walikuwa wapi??
 
Longetivity ya Kambarage kwenye uongozi ina excuse ila kwa DJ hakuna. Hivi Mkatoliki anaruhusiwa kusimamia ubatizo wa Mlutheri?
hakuna linaloshindikana chini ya jua, bila Mabeberu kuweka mkakati maalum wa kumng'oa Jk angekaa mpaka 2000
 
we huogopi Mtu analindwa na makomando, kama ni raia wa kawaida, anajua nini anachokifanya
 
Usisahau nyerere Aliongoza Tanu na ASP kwa hiyi kipindi anaongoza CCM ilikuwa Bado changa ilihitaji mtu wanayemuamuni zaidi..
Na sio CHADEMA chama kina miaka 33 Bado unagaka kuniambia hakuna watu wanaoweza kukiongoza bhasi wakifute
Nyerere aliongoza ASP na TANU, pia CCM, na hata alipokuwa rais uluwahi kusikua uchaguzi wa rais au ulusikia uchaguzi baada ya yeye kung'atuka?

Lakini hadi leo Nyerere anaitwa ni kiongozi wa demokrasia.

Kule ccm hakuna uchaguzi wa mwenyekiti, anapatikana by default, anayekuwa rais ndiye mwenyekiti wa ccm taifa.

Magufuli alifariki, Samia alirithi urais na uwenyekiti wa ccm kwa pamoja, hiyo nayo demokrasia.
 
Nyerere ni Mkatoliki. Mbowe ni kkt. Inawezekanaje Kambarage mkatoliki kuwa baba wa ubatizo wa mbowe kkt ?
Kuna watu wanaokota okota vitu hata bila kufikiri wana vileta humu.
 
Nyerere aliongoza ASP na TANU, pia CCM, na hata alipokuwa rais uluwahi kusikua uchaguzi wa rais au ulusikia uchaguzi baada ya yeye kung'atuka?

Lakini hadi leo Nyerere anaitwa ni kiongozi wa demokrasia.

Kule ccm hakuna uchaguzi wa mwenyekiti, anapatikana by default, anayekuwa rais ndiye mwenyekiti wa ccm taifa.

Magufuli alifariki, Samia alirithi urais na uwenyekiti wa ccm kwa pamoja, hiyo nayo demokrasia.
Na siku hizi ni lazima apate 100% ya kura zinazopigwa!

Amandla...
 
hakuna linaloshindikana chini ya jua, bila Mabeberu kuweka mkakati maalum wa kumng'oa Jk angekaa mpaka 2000
Sahihi, chini ya jua pesa ikiwepo yote yanawezekana. Hata hivyo Nyerere hakuwa mkamilifu.
 
Back
Top Bottom