Chadema inawafuasi wa ajabu sana, Lisu mwenye uwezo mkubwa wa hoja na kujieleza hawataki ashindane na Mbowe wanayemuita kilaza, dhaifu na hana hoja.
Strong vs Weak candidate, lakini Strong candidate hawataki agombee wanataka AACHIWE, APEWE,APISHWE, uwenyekiti, hawataki ashindanishwe kwa namba yoyote ile.
Hawataki uchaguzi wa haki, wakati ni kipimo cha demokrasia ya wengi.
Tulipaswa kupongeza uamuzi huu wa Mbowe, ili Lisu awe mwenyekiti mwenye merit, naye awe anasimama kwa confidence kwamba amechaguliwa.
Lisu alikosoa urais wa Samia, leo mnataka apewe uwenyekiti bila kugombea, mnajielewa kweli?