EEEeeeenHEEeeeeee!
Lugha kama hizi mkuu ''Nanye' usifikiri zinatikisa chochote hapa. Ni ishara ya utupu kichwani mbali ya kuwa alama ya 'desperation'.
Nijinyonge kwa vile tapeli Mbowe kavuruga chama alicho kiongoza kwa miaka ishirini? Una wenda wazimu umekupanda kichwani?
Mbowe kwa matokeo yoyote yatakavyo kuwa; hana tena heshima ya kuwa kiongozi wa kueleweka wa chama cha siasa. Samia kammaliza kimoja,; kamwongeza kwenye safu ya akina Lipumba, Cheyo na wengineo.
He is done. Finished. Na anataka kuizika CHADEMA yenyewe hivyo hivyo.
Hahaha una matatizo sana hujijui tu, hicho chama umejiunga lini wewe hadi kimekupagawisha hivyo?
Hivi ungekuwa wewe ndiye mgombea, si ungekimbia uchi wewe?
Edwin Mtei umewahi hata kumuona, au unamsikia tu?
Bob Makani uliwahi hata kumuona, au unawasoma tu na kuwasikia tu?
mnafuata mikumbo kama watoto vile, kila unachokisikia, hata hujiulizi unakimbia nacho, bila kujali ni kweli au uongo.
Umewahi kugombea nafasi yoyote ya uongozi popote dunia hii wewe, au wewe ndio wale cheerleader fo ever!?
Maamuzi yakiishafanyika hata ulie, ujigalagaze huwa yameshaamuliwa.
Mjifunze kushindana wa hoja, na siyo kuchafua watu kwa vitu hata hamvifahamu mnaongea ongea tu, hakuna hata ushahidi mmoja umeleta tangu umeanza kumkashifu hiyo Mbowe.
Mara Samia, mara ccm, sijui unaviokota wapi?
Leta tuhuma moja na ushahidi tujadili mwanzo mwisho. Bila hivyo pumzika huna uwezo wa kunishawishi mimi, kwa kelele zisizo na ushahidi.
Sasa Lisu akishinda, mtakataa matokeo?