DJ anapita mule mule kwa Kambarage, na ni Baba yake wa Ubatizo, like father like Son2004-2024 CCM Kimeongozwa na wenyeviti wanne tofauti(Mkapa, Kikwete, Magufuli & Samia). Kwa miaka hiyo ishirini CHADEMA Mwenyekiti ni huyo huyo tena bado anaongeza. Kati ya CCM na CHADEMA kipi Chama cha kidemokrasia?
Usisahau nyerere Aliongoza Tanu na ASP kwa hiyi kipindi anaongoza CCM ilikuwa Bado changa ilihitaji mtu wanayemuamuni zaidi..DJ anapita mule mule kwa Kambarage, na ni Baba yake wa Ubatizo, like father like Son
Longetivity ya Kambarage kwenye uongozi ina excuse ila kwa DJ hakuna. Hivi Mkatoliki anaruhusiwa kusimamia ubatizo wa Mlutheri?DJ anapita mule mule kwa Kambarage, na ni Baba yake wa Ubatizo, like father like Son
well done,Wakuu,
Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe akirejesha fomu ya kugombea Uenyekiti wa chama hicho kwa mara nyingine tena.
Soma pia: Tundu Lissu arudisha fomu makao makuu ya CHADEMA akiwa amevaa bulletproof. Hii ina maana gani?
View attachment 3182614
hakuna linaloshindikana chini ya jua, bila Mabeberu kuweka mkakati maalum wa kumng'oa Jk angekaa mpaka 2000Longetivity ya Kambarage kwenye uongozi ina excuse ila kwa DJ hakuna. Hivi Mkatoliki anaruhusiwa kusimamia ubatizo wa Mlutheri?
Nyerere ni Mkatoliki. Mbowe ni kkt. Inawezekanaje Kambarage mkatoliki kuwa baba wa ubatizo wa mbowe kkt ?DJ anapita mule mule kwa Kambarage, na ni Baba yake wa Ubatizo, like father like Son
Nyerere aliongoza ASP na TANU, pia CCM, na hata alipokuwa rais uluwahi kusikua uchaguzi wa rais au ulusikia uchaguzi baada ya yeye kung'atuka?Usisahau nyerere Aliongoza Tanu na ASP kwa hiyi kipindi anaongoza CCM ilikuwa Bado changa ilihitaji mtu wanayemuamuni zaidi..
Na sio CHADEMA chama kina miaka 33 Bado unagaka kuniambia hakuna watu wanaoweza kukiongoza bhasi wakifute
Kuna watu wanaokota okota vitu hata bila kufikiri wana vileta humu.Nyerere ni Mkatoliki. Mbowe ni kkt. Inawezekanaje Kambarage mkatoliki kuwa baba wa ubatizo wa mbowe kkt ?
Nakumbuka maneno ya Omar.Wakuu,
Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe akirejesha fomu ya kugombea Uenyekiti wa chama hicho kwa mara nyingine tena.
Soma pia: Tundu Lissu arudisha fomu makao makuu ya CHADEMA akiwa amevaa bulletproof. Hii ina maana gani?
View attachment 3182614
Na siku hizi ni lazima apate 100% ya kura zinazopigwa!Nyerere aliongoza ASP na TANU, pia CCM, na hata alipokuwa rais uluwahi kusikua uchaguzi wa rais au ulusikia uchaguzi baada ya yeye kung'atuka?
Lakini hadi leo Nyerere anaitwa ni kiongozi wa demokrasia.
Kule ccm hakuna uchaguzi wa mwenyekiti, anapatikana by default, anayekuwa rais ndiye mwenyekiti wa ccm taifa.
Magufuli alifariki, Samia alirithi urais na uwenyekiti wa ccm kwa pamoja, hiyo nayo demokrasia.
Sahihi, chini ya jua pesa ikiwepo yote yanawezekana. Hata hivyo Nyerere hakuwa mkamilifu.hakuna linaloshindikana chini ya jua, bila Mabeberu kuweka mkakati maalum wa kumng'oa Jk angekaa mpaka 2000