Hahaha umesahau wale walioimba tunamtaka Lowasa? Lakini mwenyekiti akawa Magufuli, kura zao zilimfikiaje Magufuli hadi akapata 100%.Na siku hizi ni lazima apate 100% ya kura zinazopigwa!
Amandla...
Uchaguzi Mkuu ulifanyika Mwaka 1980 (Miaka 3 Baada ya CCM kuzaliwa) , Uchaguzi wa Mwaka 1985 Mwaka aliong'atuka Nyerere na kwakuwa Mwinyi alikuwa kashinda urais wa Zanzibar na Alikuwa makamu wa Rais..Nyerere aliongoza ASP na TANU, pia CCM, na hata alipokuwa rais uluwahi kusikua uchaguzi wa rais au ulusikia uchaguzi baada ya yeye kung'atuka?
Hii ni sahihi kabisa!Kule ccm hakuna uchaguzi wa mwenyekiti, anapatikana by default, anayekuwa rais ndiye mwenyekiti wa ccm taifa.
Magufuli alifariki, Samia alirithi urais na uwenyekiti wa ccm kwa pamoja, hiyo nayo demokrasia.
Umenielewa vizuri. Nilikuwa nazungumzia chaguzi mbili tatu za hivi karibuni.Hahaha umesahau wale walioimba tunamtaka Lowasa? Lakini mwenyekiti akawa Magufuli, kura zao zilimfikiaje Magufuli hadi akapata 100%.
CCM ni mwenyekiti anaupata by default, hakuna kura.
Au sikukuelewa, uliposema siku hizi ulikuwa unamaanisha nini?
Tutakuroga mzee😂😂😂2004-2024 CCM Kimeongozwa na wenyeviti wanne tofauti(Mkapa, Kikwete, Magufuli & Samia). Kwa miaka hiyo ishirini CHADEMA Mwenyekiti ni huyo huyo tena bado anaongeza. Kati ya CCM na CHADEMA kipi Chama cha kidemokrasia?
Inashangaza sana. Mbowe kusema anagombea tena anaitwa dikteta.Chadema inawafuasi wa ajabu sana, Lisu mwenye uwezo mkubwa wa hoja na kujieleza hawataki ashindane na Mbowe wanayemuita kilaza, dhaifu na hana hoja.
Strong vs Weak candidate, lakini Strong candidate hawataki agombee wanataka AACHIWE, APEWE,APISHWE, uwenyekiti, hawatai ashindanishwe kwa namba yoyote ile.
Hawataki uchaguzi wa haki, wakati ni kipimo cha demokrasia ya wengi.
Tulipaswa kupongeza uamuzi huu wa Mbowe, ili Lisu awe mwenyekiti mwenye merit, naye awe anasimama kwa confidence kwamba amechaguliwa.
Lisu alikosoa urais wa Samia, leo mnataka apewe uwenyekiti bila kugombea, mnajielewa kweli?
Kajipangeni na Lissu wenu mwenye chuki!Huyu Mzee hana haya kabisa
Hawa watang'ang'ania kwa udi na uvumba kabisaUdikteta huu kwenye vyama ndogondogo.tukiwapa serikali si mtabaki milele
Haina shida acha wajumbe wafanye yao2004-2024 CCM Kimeongozwa na wenyeviti wanne tofauti(Mkapa, Kikwete, Magufuli & Samia). Kwa miaka hiyo ishirini CHADEMA Mwenyekiti ni huyo huyo tena bado anaongeza. Kati ya CCM na CHADEMA kipi Chama cha kidemokrasia?
Hao unao waelezea hapa ni akina nani?Chadema inawafuasi wa ajabu sana, Lisu mwenye uwezo mkubwa wa hoja na kujieleza hawataki ashindane na Mbowe wanayemuita kilaza, dhaifu na hana hoja.
Strong vs Weak candidate, lakini Strong candidate hawataki agombee wanataka AACHIWE, APEWE,APISHWE, uwenyekiti, hawatai ashindanishwe kwa namba yoyote ile.
Hawataki uchaguzi wa haki, wakati ni kipimo cha demokrasia ya wengi.
Tulipaswa kupongeza uamuzi huu wa Mbowe, ili Lisu awe mwenyekiti mwenye merit, naye awe anasimama kwa confidence kwamba amechaguliwa.
Lisu alikosoa urais wa Samia, leo mnataka apewe uwenyekiti bila kugombea, mnajielewa kweli?
Kwa hiyo ndio maana hutaki uchaguzi, unataka mgombea apite bila kupingwa, asipigiwe kura? Wagombeaji wanafahamu nani anapiga kura na nani apigi, wanafahamu taratibu za uchaguzi na wasimamizi wa uchaguzi. Usianze kujenga hoja mfu kwasababu unahisi mgombea fulani atashinda.Hao unao waelezea hapa ni akina nani?
Ni nani asiye taka uchaguzi huru na wa Haki; unaweza kuwataja hao?
Sasa kumbuka: unapo zungumzia uchaguzi "HURU na HAKI" uwe na hakika ya unacho kizungumzia.
Ni muhimu uelewe mchakato wa uchaguzi huo ulivyo pangwa. Nani wanao shiriki kwenye huo uchaguzi, na wamepatikana kwa njia zipi!
Na uhusika wa hao wenye vyombo vilivyo nje ya chama wakijihusisha na shughuli za chama ili matokeo yawe yanayo egemea uhitaji wao.
Kwa hiyo usije hapa na kuchanganya akili za watu kwamba kuna wasiotaka uchaguzi ulio "HURU na HAKI."
Hata CCM wanadai kwa nguvu zote kwamba uchaguzi wa Serikali za Mitaa uliopita juzi; wameupata kwa HAKI na ulikuwa HURU kabisa! Huenda nawe unakubaliana na ujuha wa aina hiyo!
Inaeleweka wazi Mbowe naye kaandaa ushindi wa kishindo kwa njia hiyo hiyo. Mbowe amekuwa mwanafunzi mzuri sana wa kuiga maovu ya CCM na kuyaingiza CHADEMA kwa manufaa yake.
Chadema inawafuasi wa ajabu sana, Lisu mwenye uwezo mkubwa wa hoja na kujieleza hawataki ashindane na Mbowe wanayemuita kilaza, dhaifu na hana hoja.
Strong vs Weak candidate, lakini Strong candidate hawataki agombee wanataka AACHIWE, APEWE,APISHWE, uwenyekiti, hawatai ashindanishwe kwa namba yoyote ile.
Hawataki uchaguzi wa haki, wakati ni kipimo cha demokrasia ya wengi.
Tulipaswa kupongeza uamuzi huu wa Mbowe, ili Lisu awe mwenyekiti mwenye merit, naye awe anasimama kwa confidence kwamba amechaguliwa.
Lisu alikosoa urais wa Samia, leo mnataka apewe uwenyekiti bila kugombea, mnajielewa kweli?
Waongo, wao wanataka mgombea wao aachiwe nafasi yani asishindane na yeyote bali yeye mwenyewe.Inashangaza sana. Mbowe kusema anagombea tena anaitwa dikteta.
Nafikiri watu wengi wameathirika na mfumo wa CCM. Kwamba aliye madarakani akigombea basi ni mshindi automatically.
Labda hata huko CHADEMA uchaguzi ni kiini macho tu. Hakuna demokrasia bali janja janja! Kama ni hivyo sijui watu wanaungaje mkono chama cha aina hiyo kinapopambana na CCM na serikali yake.
Itakuwa ni ajabu, alipewaje fomu ya kugombea, na inashangaza kama wamepokea fomu ya mwana ccm.Maajabu ya dunia ni pale mwana ccm mbowe anaporudisha fomu kugombea chadema.
Nyerere 1980 alishindana na nani kwenye huo uchaguzi?Uchaguzi Mkuu ulifanyika Mwaka 1980 (Miaka 3 Baada ya CCM kuzaliwa) , Uchaguzi wa Mwaka 1985 Mwaka aliong'atuka Nyerere na kwakuwa Mwinyi alikuwa kashinda urais wa Zanzibar na Alikuwa makamu wa Rais..
Katiba Iko wazi Ulitaka Baada ya Rais Kujiuzuru Ufanyike Uchaguzi mkuu wakati katiba Yetu iko wazi Kuwa Makamu wa Rais ataongoza?
Hii ni sahihi kabisa!
Unategemea Rais Awe Mwingine na Mwenyekiti wa Chama Awe mwinginr unahisi Rais atakuwa Huru Kuongoza Wakati na Yeye Pia Anaongozwa??