Serikalini inashindwa kuendelea na ubeti wa pili wa wimbo walioutunga wenyewe.HIYO MPAKA MIAKA MITANO ITAISHA KWA MTINDO HUO JAMAA AYAZOEE TU MAISHA YA SERO NDIYO NYUMBANI KWAKE KWA SASA
Tukifanya maandamano washa washa zote zitakua barabarani.Magari ya kwenda kukamata watu yapo ila ya kuwapeleka mahakamani hayapo?
Hapo wanajua kwao inalipa snTukifanya maandamano washa washa zote zitakua barabarani.
Mbowe na Sabaya mpaka wataomba pose safari hii, hela za maV8 mpaka services na mafuta full tanks zipo ila magereza magari hamna!!!HIYO MPAKA MIAKA MITANO ITAISHA KWA MTINDO HUO JAMAA AYAZOEE TU MAISHA YA SERO NDIYO NYUMBANI KWAKE KWA SASA
AKIJA KUPATA NDUGUYAKO WA KARIBU AU WEWE MWENYEWE NDIYO UTAKUJA KUIHESHIMU HIYO CORONANdo maana wakati mwingine nafurahiaga kuwaona wanaccm na wadhamini wao wa kampeni (mabilionea) wakifa kwa kwa CORONA.
#Live longer COVID 19
yaani watapata shida sana kesi hizi haziishi leo wala kesho watu wazoee tu maisha yaendelee mifano ipo mingi kwa kesi kama hizi kuchukua miakaMbowe na Sabaya mpaka wataomba pose safari hii, hela za maV8 mpaka services na mafuta full tanks zipo ila magereza magari hamna!!!
hii ni ishara kuwa kesi ni ya kubambikia.HIYO MPAKA MIAKA MITANO ITAISHA KWA MTINDO HUO JAMAA AYAZOEE TU MAISHA YA SERO NDIYO NYUMBANI KWAKE KWA SASA
hakuna kesi ya kubambiaka ushahidi upo ila kesi haiwezi kwisha haraka kama unavyofikirihii ni ishara kuwa kesi ni ya kubambikia.
Dahh
hakuna hata anaye aibika maisha watu yanaenda kama kawaida anayepata tabu ni mbowe na ugaidi wakeWamesanda.......eti magari mabovu ndo wanazidi kujiaibisha tu...
kesi ya sabaya week nzima hii inaridima na leo wanaanza kujibu shutuma zao.yaani watapata shida sana kesi hizi haziishi leo wala kesho watu wazoee tu maisha yaendelee mifano ipo mingi kwa kesi kama hizi kuchukua miaka
Corona haina chama mkuuNdo maana wakati mwingine nafurahiaga kuwaona wanaccm na wadhamini wao wa kampeni (mabilionea) wakifa kwa kwa CORONA.
#Live longer COVID 19