Mbowe ashindwa kuhudhuria Mahakamani. Kesi yaendeshwa kwa njia ya video, Yaahirishwa mpaka Agosti 27

Mbowe ashindwa kuhudhuria Mahakamani. Kesi yaendeshwa kwa njia ya video, Yaahirishwa mpaka Agosti 27

Drama za TZ sijui zitakuja kuisha lini hahahaha, kwani suala la bwana Ustaadhi Abubakar kuhudhuria leo mahakamani ni surprise kama heart attack? Kwamba week yote hii wameshindwa kutengeneza hayo magari?
 
yaani watapata shida sana kesi hizi haziishi leo wala kesho watu wazoee tu maisha yaendelee mifano ipo mingi kwa kesi kama hizi kuchukua miaka
Kinachofuatia hapo ni kuvurugika kisaikolojia mpaka watakapokata tamaa kabisa, ogopa unaambiwa kesho mahakamani , ghafla unaambiwa hauendi gari hazipo sawa na huna chochote cha kuwafanya… mala zoom network ipo low… yaani jamaa angechutama tu asubiri hekima za Mama, kukaza na huku unamakandokando yako ni kubaya..
 
kesi ya sabaya week nzima hii inaridima na leo wanaanza kujibu shutuma zao.
Muwe mnashirikisha ubongo kabla hamjaanza kudemka nyimbo mlizotunga wenyewe alafu mnasahau ubeti wa pili.
kesi ya sabaya hii ya sasa ni ndogo sana bado ya uhijumu uchumi nakuambia hii kesi siyo ya kisha leo wala kesho mbowe pia lazima miaka ikatike yaani mbona mnamsahau muda siyo mrefu na hivi tz tunaishi kutokana na matukio litakuja tukio lingine mbowe tunakuwa tuna msoma kwenye magazeti tu hivi uliona leo kama kulikuwa na watu wanajikusanya tena kwenda mahakamani?
 
Kinachofuatia hapo ni kuvurugika kisaikolojia mpaka watakaokata tamaa kabisa, ogopa unaambiwa kesho mahakamani umeshajipanga ghafla unaambiwa hauendi gari hazipo sawa na huna chochote cha kuwafanya… mala zoom network ipo low… yaani jamaa angechutama tu asubiri hekima za Mama, kukaza na huku unamakandokando yako ni kubaya..
hiyo ndiyo busara alitakiwa aifanye lakini hawa chadema wanajifanya wajuaji na wameshaanza kukata pumzi yaani leo kulikuwa hamna hata shamrashamra za watu kwenda mahakamani
 
HIYO MPAKA MIAKA MITANO ITAISHA KWA MTINDO HUO JAMAA AYAZOEE TU MAISHA YA SERO NDIYO NYUMBANI KWAKE KWA SASA

Kilinge chetu kilikuwapo huku pia:


Kusema nyongo haki yetu.
 
Yule jamaa anaeitwa Karma bado mnamuona huko mtaani au Covid imemchukua?

Kwa hiyo Covid 19 iliyosababisha kesi ifanyike kwa mtandao imeyeyuka na kurudi kuhudhuria mahakamani leo?

Kama magari mabovu si ndio kesi ingeenda kidijitali?
 
Hahaaa only in Tanzania , ndiomaana hata sokola kariakoo liliungua likaisha wakati makao makuu ya zimamoto yapo umbali wa mita zisizozidi miambili tu, lakini ikija swala la wapinzani hata ndege zinapatikana , nchi hii ni ya ajabu sana , nakumbuka kuna siku kwenye kesi ya Lema Arusha hakimu akawa na udhuru wa harusi sijui sendoff ya mwanaye, hatari sana
 
Kinachofuatia hapo ni kuvurugika kisaikolojia mpaka watakapokata tamaa kabisa, ogopa unaambiwa kesho mahakamani , ghafla unaambiwa hauendi gari hazipo sawa na huna chochote cha kuwafanya… mala zoom network ipo low… yaani jamaa angechutama tu asubiri hekima za Mama, kukaza na huku unamakandokando yako ni kubaya..
Kamwe,shujaa huwa hachutami kuomba huruma ya mtesi,daima atasimama kwa ajili ya Wana wa nchi hii.
 
AKIJA KUPATA NDUGUYAKO WA KARIBU AU WEWE MWENYEWE NDIYO UTAKUJA KUIHESHIMU HIYO CORONA
Hakuna jambo zuri zaidi ya kumuona adui yako akianguka, kwa ufupi mateso yao ni faraja kwetu. Ikitokea kwa ndugu yangu nitasikitika.
 
Back
Top Bottom