yaani hapo ndiyo huwaga mnakosea sana eti dunia inawaona ? ulishaona wapi hao wa duniani wakamfosi nchi ifanye wanavyotaka wao wenyewe wanamapungufu yao kibao nyie zoeeni tu huyo umnampelekea chai kila siku gaidi wenu mpaka miaka kadhaahifadhi hii post yako nitakukumbusha.
Safari hii mmeingia cha kiume bila nguo ya ndani,
hii kesi sio ya mandazi kama mlizozoeya ukadhani eti ipigwe danadana za kipuuzi alafu ulimwengu unayoishuudia ukae kimya,
tayari mmeshaingia ubaridi ndiyomaana mnaigopa mahakama mtasema nyie ndiyo washtakiwa kumbe nyie ndiyo wapishi wa mashtaka ya kubumba.