Mbowe ashindwa kuhudhuria Mahakamani. Kesi yaendeshwa kwa njia ya video, Yaahirishwa mpaka Agosti 27

Mbowe ashindwa kuhudhuria Mahakamani. Kesi yaendeshwa kwa njia ya video, Yaahirishwa mpaka Agosti 27

Mr. Boya kanywe chai kwanza hii ngoma inawaumizwa kichwa hadi hao unaowaamini, mmeingia cha kiume bila nguo ya ndani.
yaani hapa nilipo nime relax sanaaaa nawasikilizia mnavyoumia mnavyomuona mbowe akiendelea kunyea debe miaka kadhaa
 
2878995_images_9.jpeg
 
yaani hapa nilipo nime relax sanaaaa nawasikilizia mnavyoumia mnavyomuona mbowe akiendelea kunyea debe miaka kadhaa
woooi! nyie mataga pori ndiyo mnahaha kama kuku liyekatwa kichwa, sisi hayo majela na mateso tushazoeya saana.
 
WaTz nyie nawaheshimu sana 😂😂
Kwanza jamaa ameshazoea kuandamana hvy wangemtembeza hata kwa miguu
 
akili za kuambiwa changanya na zako unakuja kulalamika hapa kwa ujinga ulioufanya mwenyewe? angekuwa katulia na kufanya mambo yake nani annnnnnnnnnnnnnnnnngsumbua anakula alichokuwa anakipanda
Ungekuwa na uwezo wa kufikiri japo kidogo, ungeenda kuwaliza kuwalalamikia hao wenzio, hivi ni kwa nini wanaendelea kuchelewesha hatua ya kuja 'kumhukumu' mtu waliemtafutakwa siku na rasilimali nyingi, wakati 'wanao ushahidi na vielelezo' vyote?
 
#HABARI Kesi inayomkabili Mwenyekiti wa @ChademaTz @freemanmbowetz na wenzake imeahirishwa hadi Agosti 27 mwaka huu itakapoletwa tena kusikiliza hoja zilizowasilishwa na upande wawashitakiwa kuhusu matamshi yaliyotolewa na taasisi moja ya serikali kuhusu washtakiwa wao. https://t.co/7lQiU9FpHq
 
Eti kashindwa kufikishwa mahakamani kwa kuwa magari yote ni mabovu.

Hii nchi sijui nani alituloga...
 
#HABARI Kesi inayomkabili Mwenyekiti wa @ChademaTz @freemanmbowetz na wenzake imeahirishwa hadi Agosti 27 mwaka huu itakapoletwa tena kusikiliza hoja zilizowasilishwa na upande wawashitakiwa kuhusu matamshi yaliyotolewa na taasisi moja ya serikali kuhusu washtakiwa wao. https://t.co/7lQiU9FpHq
Hapo Hamna kesi, Ni mchezo TU wa kudhoofisha harakat za katiba mpya!

#FreeFreemanmbowe
 
Back
Top Bottom