Mbowe ashindwa kuhudhuria Mahakamani. Kesi yaendeshwa kwa njia ya video, Yaahirishwa mpaka Agosti 27

Mbowe ashindwa kuhudhuria Mahakamani. Kesi yaendeshwa kwa njia ya video, Yaahirishwa mpaka Agosti 27

Taasisi gani hiyo Kama sio mama dikteta?
Hahaha, kila nyimbo mtaimba, mlidhani ni dhaifu mkataka kumwingia kichwa kichwa eh? Kalichukua jambazi lenu kuu kaliweka mahali salama...!! Mmebaki kutukana mitandaoni tu, field hamna kitu, na bado!
 
Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe na wenzake watatu wameshindwa kufikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, leo Agosti 13 kuhudhuria kesi yao

Sababu ya kushindwa kufika mahakami ni changamoto ya usafiri wa gari la magereza. Mbowe na wenzake wanatuhumiwa kesi ya ugaidi na uhujumu uchumi
 
Hahaha, kila nyimbo mtaimba, mlidhani ni dhaifu mkataka kumwingia kichwa kichwa eh? Kalichukua jambazi lenu kuu kaliweka mahali salama...!! Mmebaki kutukana mitandaoni tu, field hamna kitu, na bado!
Utoto at work. Hapo wazungu wanaachaje kutuita manyani kwa mfano?
 
#HABARI Kesi inayomkabili Mwenyekiti wa @ChademaTz @freemanmbowetz na wenzake imeahirishwa hadi Agosti 27 mwaka huu itakapoletwa tena kusikiliza hoja zilizowasilishwa na upande wawashitakiwa kuhusu matamshi yaliyotolewa na taasisi moja ya serikali kuhusu washtakiwa wao. https://t.co/7lQiU9FpHq

Kesi ya sabaya inasomwa daily ila ya mbowe inarushwa siku nyingi ,inasikitisha sana.
 
Gari za kuwasafirisha wapinzani kuwatoa Mwanza mpaka Dar zilipatikana kirahisi sana ila gari za kuwaleta Mbowe na waliokuwa walinzi wake Mahakamani leo kutokea hapo mahabusu ambapo hakuna hata kilomita tano zimekuwa ni shida!🚶🚶🚶
 
#HABARI Kesi inayomkabili Mwenyekiti wa @ChademaTz @freemanmbowetz na wenzake imeahirishwa hadi Agosti 27 mwaka huu itakapoletwa tena kusikiliza hoja zilizowasilishwa na upande wawashitakiwa kuhusu matamshi yaliyotolewa na taasisi moja ya serikali kuhusu washtakiwa wao. https://t.co/7lQiU9FpHq
Ukiwa kwenye heat lazima umtaje Mbowe, utafikiri wewe ndiye wa kutolewa usichana kisha ukaachwa. Mkaushie huyu mshikaji mbona hata huko CCM kuna wanaume?
 
Kinachofuatia hapo ni kuvurugika kisaikolojia mpaka watakapokata tamaa kabisa, ogopa unaambiwa kesho mahakamani , ghafla unaambiwa hauendi gari hazipo sawa na huna chochote cha kuwafanya… mala zoom network ipo low… yaani jamaa angechutama tu asubiri hekima za Mama, kukaza na huku unamakandokando yako ni kubaya..
Uyu jamaa angekuwa na makandokando mwenda zake angemuacha kweli? Ila SIASA ni ujinga sana sitamani hata mjukuu wangu aingie huko
 
1628846119795.png

2878995_images_9.jpeg

2878995_images_9.jpeg
 
Back
Top Bottom