Mbowe ashindwa kuhudhuria Mahakamani. Kesi yaendeshwa kwa njia ya video, Yaahirishwa mpaka Agosti 27

Mbowe ashindwa kuhudhuria Mahakamani. Kesi yaendeshwa kwa njia ya video, Yaahirishwa mpaka Agosti 27

Uyu jamaa angekuwa na makandokando mwenda zake angemuacha kweli? Ila SIASA ni ujinga sana sitamani hata mjukuu wangu aingie huko
Inasemekana wapo waliokuwa wanampa kibri enzi hizo akiwemo makongoro Nyerere and entire royal family, kwa sasa mama kawapooza na teuzi mjuba akiminywa wasiweze fanya lolote.
 
Kamwe,shujaa huwa hachutami kuomba huruma ya mtesi,daima atasimama kwa ajili ya Wana wa nchi hii.
Unataka kuniambia kwamba wale mashekhe wa uamsho sio mashujaa kweli!!! Maana wamechutama mazima.
 
Pia jiulize kama tunge kuwa na utaratibu wakutatua matatizo yetu haya yange tokea?
Lisu na wengine wametendewa mabaya kwa lengo la kuwazima kibabe sasa wao wafanyeje!
Umeshasikia mwanasiasa gani wa upinzani kutoka Rwanda, Burundi, South Sudan, Sudan anazunguka nchi za wazungu kutaka nchi zao ziwekewe vikwazo? Hizo nchi wapinzani wameonewa sana lakini hawafanyi kinachofanywa na CHADEMA.

Lakini pia zipo nchi za Kenya hasa machafuko yanayotokea baada ya uchaguzi na maelfu ya watu kuuwawa ulishamsikia Raila Odinga akienda kwa wazungu kuomba Kenya iwekewe vikwazo.

Pitia pia Uganda, Zambia, Malawi n.k. Kwa nini Chadema kila siku kwa wazungu? Ukweli ni kuwa hao mabwana zenu wazungu wanawashangaa sana. Mnatuaibisha kwa kupenda kushikwa shikwa materko na wazungu.
 
Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe na wenzake wameshindwa kufikishwa mahakamani leo kutokana na tatizo la usafiri, hivyo kulazimu kesi kuendeshwa kwa njia ya video. Shauri hilo limefikishwa Mahakamani kwa ajili ya kutajwa, na limeahirishwwa hadi Agosti 27 litakaposikilizwa.

Huu n udhalilishwaji wa Hali ya juu kabisa kutokea, yaani mwenyekiti wetu, na c wetu tu, Mwenyekiti wa chama kikuu Cha upinzani ana bebwa na yeye kwenye karandinga?? Yale ma V8vx yana fanya Nini police na hata huko magereza,?
 
HIYO MPAKA MIAKA MITANO ITAISHA KWA MTINDO HUO JAMAA AYAZOEE TU MAISHA YA SERO NDIYO NYUMBANI KWAKE KWA SASA
Sawa boss. Njia ya ukombozi ni ngumu na ndefu. Hata makaburu walishereheka kama unavyoshangilia wewe baada ya kumfunga Mandela na wenzake miaka 27 jela. Kinachotia matumaini ni kwamba Mbowe hatafia jela. Ipo siku atatoka na atatoka kijasiri - "triumphantly".
 
Umeshasikia mwanasiasa gani wa upinzani kutoka Rwanda, Burundi, South Sudan, Sudan anazunguka nchi za wazungu kutaka nchi zao ziwekewe vikwazo? Hizo nchi wapinzani wameonewa sana lakini hawafanyi kinachofanywa na CHADEMA...
Yaani Tanzania unafananisha na Burundi, Sudan,Rwanda nk! kweli mkuu? Raila Odinga nini kilitokea hadi Kenyata akaamua wayamalize, Fatili Bob Wine nini kilitokea kwake.

Matatizo haya yakubabikiwa watu na kupiga watu risari yameanzishwa na Magufuli na masheria yake ya ajabu ajabu kwa faida yake mwenyewe.
 
matatizo ya kutumia uhuru uliopewa kuvuka mipaka ndiyo yanamkost mbowe wenu
Ndugu naona wazidi kuthibitisha kuwa wewe wafanana kabisa na yule mfungwa, mmoja wa wale waliopewa msamaha wa Rais(Jiwe), lakini yeye akawa hataki kutoka na kuwa huru.

Ilibidi Askari Magereza watumie nguvu kubwa kumwondoa na hata kumpeleka mpaka kwao. Hata wakati wa SA ya Makaburu walikuwapo wa aina yako, WAKIWAMO hata baadhi ya ndugu wa karibu wa Mandela. Kama baadhi ya weusi wa Kwazulu Natal, walipenda kunyanyaswa na kujivunia Makaburu wanaowanyanyasa.

Ndugu yangu unahitaji kukombolewa kiakili. Katiba Mpya ndio DAWA ya madhi yako.
 
Yaani Tanzania unafananisha na Burundi, Sudan,Rwanda nk! kweli mkuu? Raila Odinga nini kilitokea hadi Kenyata akaamua wayamalize, Fatili Bob Wine nini kilitokea kwake.
Matatizo haya yakubabikiwa watu na kupiga watu risari yameanzishwa na Magufuli na masheria yake ya ajabu ajabu kwa faida yake mwenyewe.
Nimetaja nchi zenye worse situations. Nakubaliana na wewe kwamba Tanzania haiwezi kufananishwa na hizo nchi. Ndiyo maana nchi za wazungu zinashangaa wapinzani wa Tanzania kila siku wako kwao wakati wapinzania kutoka nchi zenye worse situations kama Burundi, Rwanda na Sudan wako kimya. Wanapambana ndani ya nchi zao.

Kesi ya Uganda, lini ulisikia Bob Wine anazunguka Marekani na Ulaya kushawishi Uganda iwekewe vikwazo? Anapambana na Museveni ndani kwa ndani. Baadhi ya Wazungu wanaotaka kumsaidia wanakuja Uganda, siyo yeye kuwafuata. Chadema acheni kujiabisha. Nchi nyingi zimepita kwenye migogoro mikubwa lakini hawaonekani kwao hao wazungu wenu.

Angalia migogoro iliyotokea Misri, Libya, Yemen na sasa Ethiopia. Umesikia kiongozi wa Tigray Ethiopia anazunguka Ulaya na Amerika ili Ethiopia iwekewe vikwazo? Badilikeni. Ya Tigray ndiyo yangekuwa yanatokea Tanzania, Uongozi wote wa Chadema ngazi ya Taifa na pengine hadi Wilaya ungekuwa nje ya nchi kuzunguka kwa wazungu wao. It is a shame.
 
Sawa boss. Njia ya ukombozi ni ngumu na ndefu. Hata makaburu walishereheka kama unavyoshangilia wewe baada ya kumfunga Mandela na wenzake miaka 27 jela. Kinachotia matumaini ni kwamba Mbowe hatafia jela. Ipo siku atatoka na atatoka kijasiri - "triumphantly".
Tunamuombea aje kuwa hai ili aje kuyashuhudia. AMEN
 
Ndugu naona wazidi kuthibitisha kuwa wewe wafanana kabisa na yule mfungwa, mmoja wa wale waliopewa msamaha wa Rais(Jiwe), lakini yeye akawa hataki kutoka na kuwa huru...
yaani mnajisumbua sana hayo ni makalatasi tu ambayo mpaka leo wapo wanayo katiba mpya na mambo hayaendi kama walivyodhani ikiwemo hiyo south africa na mjirani zetu tu hapo acheni mama yetu mpendwa ajenge uchumi acheni tamaa ya madaraka hapo kwenye katiba mnachokitaka ni tume huru tu hakuna kingine uchu wa madaraka umewajaa
 
Ndugu naona wazidi kuthibitisha kuwa wewe wafanana kabisa na yule mfungwa, mmoja wa wale waliopewa msamaha wa Rais(Jiwe), lakini yeye akawa hataki kutoka na kuwa huru...
1628854999368.png

angalia ndugu zako walivyo wapumbavu wa kauli zao wenyewe halafu wanataka madaraka kujilinganisha na mandela hawaaaa hawaaa????????

2878995_images_9.jpeg
 
Kwa hii kesi ulimwengu mzima unatushangaa...kumbe Tanzania 🇹🇿 is not safe anymore...terrorist si mchezo aisee..lazima tutengwe
 
Kuna ubaya gani kuwa nyani? Ni kipi kinakufanya wewe ujione ni bora kuliko nyani? Kujifungia ndani ya maukuta mazito mazito na walinzi juu? Nikupeleke maporini wanakoishi nyani ukaishi huko utachukua hata siku 3? Also acha kuwahusudu hao wazungu, ni binadamu tu kama wewe, hawana uspesho wowote

Mzungu ni mzungu boss, hilo wala halina mjadala.
 
Kesi kama gaidi sio ya kuku [emoji23] anavoletwa

Hana kuja na msululu mkubwa wa magari ya askari tena special kwa ajili ya lolote,wakuu wa vituo vya polisi watashinda mahakamani.

Ila mmeshindwa kupata hata defender la kumpeleka au mnajijali kwanza nyie.

Kimeumana tunataka katiba mpya
 
Nimetaja nchi zenye worse situations. Nakubaliana na wewe kwamba Tanzania haiwezi kufananishwa na hizo nchi. Ndiyo maana nchi za wazungu zinashangaa wapinzani wa Tanzania kila siku wako kwao wakati wapinzania kutoka nchi zenye worse situations kama Burundi, Rwanda na Sudan wako kimya. Wanapambana ndani ya nchi zao. Kesi ya Uganda, lini ulisikia Bob Wine anazunguka Marekani na Ulaya kushawishi Uganda iwekewe vikwazo? Anapambana na Museveni ndani kwa ndani. Baadhi ya Wazungu wanaotaka kumsaidia wanakuja Uganda, siyo yeye kuwafuata. Chadema acheni kujiabisha. Nchi nyingi zimepita kwenye migogoro mikubwa lakini hawaonekani kwao hao wazungu wenu. Angalia migogoro iliyotokea Misri, Libya, Yemen na sasa Ethiopia. Umesikia kiongozi wa Tigray Ethiopia anazunguka Ulaya na Amerika ili Ethiopia iwekewe vikwazo? Badilikeni. Ya Tigray ndiyo yangekuwa yanatokea Tanzania, Uongozi wote wa Chadema ngazi ya Taifa na pengine hadi Wilaya ungekuwa nje ya nchi kuzunguka kwa wazungu wao. It is a shame.
Chadema ipo zaidi ya miaka 20 embu jiulize kwanini ni miaka ya Magufuli tu ndiyo iliyasababisha Lisu na Lema kuikimbia nchi?

Hadi leo hakuna aliye kamatwa kwa jaribio la kutaka kumuua Lisu tena mchana kweupe, unataka huyo mtu akimbilie wapi ! leo huyo jamaa ni kilema tena hadi kuuokoa uhai wake ni msaada kutoka kwa hao, embu jaribu kuvaa viatu vya Lisu . kama serikali ingekuwa na nia njema kwanini haikumsaidia? Au hata kuondoa makandokando haya.
 
Back
Top Bottom