Mbowe ashindwa kuhudhuria Mahakamani. Kesi yaendeshwa kwa njia ya video, Yaahirishwa mpaka Agosti 27

HIYO MPAKA MIAKA MITANO ITAISHA KWA MTINDO HUO JAMAA AYAZOEE TU MAISHA YA SERO NDIYO NYUMBANI KWAKE

Tanzania nchi ya kijinga sana,tusubiri poromoko la kiuchumi sijui sasa hivi tutakata nini,maanake kwenye simu tumemaliza
 
Kuna ubaya gani kuwa nyani? Ni kipi kinakufanya wewe ujione ni bora kuliko nyani? Kujifungia ndani ya maukuta mazito mazito na walinzi juu? Nikupeleke maporini wanakoishi nyani ukaishi huko utachukua hata siku 3? Also acha kuwahusudu hao wazungu, ni binadamu tu kama wewe, hawana uspesho wowote
Hivi kuna mzungu mwenye akili kama zako mkuu?
 
Hivi Kisheria Mahakama inaweza kumuita Mkuu wa Gereza la Ukonga kuja kujieleza KWA nini asiadhibiwe kwa kushindwa kumpeleka Mbowe Mahakamani kinyume kabisa na AMRI ya Mahama iliyomtaka ampeleke Mbowe Mahakamani leo.
 
Mwache asote hiyo kesi itahamishiwa Mahakama kuu, atakoma na kuzeekea selo.
 
Serikalini inashindwa kuendelea na ubeti wa pili wa wimbo walioutunga wenyewe.
Walituhakikishia ushahidi wanao mikononi,watuambie kama wamekosa usafiri wakuuleta mahakamani tuwachangie.
 
Wadau Haiingii Akili JESHI la MAGEREZA Kudai kuwa Ilishindwa Kumpeleka Mh.MBOWE Mahakamani kuwa GARI ni BOVU
SWALI
[emoji117]Je JESHI la MAGEREZA Mkoa wa Dsm lina Magari Mangapi?
[emoji117]Je ni Kweli kuwa MAGARI yote ya JESHI la MAGEREZA yaliharibika kwa Pamoja hiyo SIKU ya Tarehe 13/8?

Sent from my SM-J600F using JamiiForums mobile app
 
Wakati huo huo kulikuwa na mahabusu wengine walioletwa mahakamani
 
Kwenye urais tumepigwa pakubwa. Sa100 kawa Sa00
 
Wadau Haiingii Akili JESHI la MAGEREZA Kudai kuwa Ilishindwa Kumpeleka Mh.MBOWE Mahakamani kuwa GARI ni BOVU
SWALI
[emoji117]Je JESHI la MAGEREZA Mkoa wa Dsm lina Magari Mangapi?
[emoji117]Je ni Kweli kuwa MAGARI yote ya JESHI la MAGEREZA yaliharibika kwa Pamoja hiyo SIKU ya Tarehe 13/8?

Sent from my SM-J600F using JamiiForums mobile app
Wakodi ubber watalipa wananchi
 
Wanamwogopa mwamba[emoji23]
anaweza akawa na vilipuzi[emoji1787][emoji1787]
akazilipua mahakama buree.

hata hivyo ni jambo jema maana siku hizi mahakama zinaendeshwa kidigitali/kwa njia ya video conference na haswa ktk kipindi hiki cha mlipuko wa Corona ni vyema sana akabaki hukohuko mahabusi ili kuepuka maambukizi.
jambo la msingi wakili wake Kibatala anawakilisha Mahakamani.
 
Leteni kejeli tu,hata kwenye kubambikia endeleeni na kejeli tu,muda utaongea.
 
Ndiyo furaha yako,ndiyo furaha yenu wanakijani.
Atavuna alichopanda. Mlevi wa konyagi aka mzee wa kubebwa bebwa tangu baba-mkwe wake alipombeba BOT hadi leo anategemea kubebwa - Aibu! Sheria itafuata mkondo wake.
 
Back
Top Bottom