Mbowe ashindwa kuhudhuria Mahakamani. Kesi yaendeshwa kwa njia ya video, Yaahirishwa mpaka Agosti 27

Mbowe ashindwa kuhudhuria Mahakamani. Kesi yaendeshwa kwa njia ya video, Yaahirishwa mpaka Agosti 27

Safi Sana,nachukia ugaidi kuliko kitu chochote,acha asote kabisa huyu mwamba ,na bado.
Ndugu,
hebu weka akiba ya maneno, jiepushe na tabia za kichawi za kukimbilia kushangilia kabla ya hukumu, itakuja kuepusha na aibu.
 
Mungu akupe macho ya kuona, akuondolee chuki dhidi ya binadamu wenzio, na mwisho akupe moyo wa toba wewe na wafananao na wewe.
How come, you enjoy other people's persecutions!
Sisi Ni binadamu, tusitake tufanane na nyani.
AMEN
 
mtoto akililia wembe mpe utakapo mkata ndipo atakapo uogopa huwezi kushindana na mamlaka ukaangaliwa tu hivihivi wacha ale alichokuwa anapanda yaani ugaidi
Kuexercise Uhuru uliopwe na katiba sio kushindana na Mamlaka mbona nyie watu mnafanyanwatunmazuzu au mnataka watu wawe Kama makondooo?.
Ukiambiwa nenda kushoto unaenda na hutakiw kuuliza kwa nini?
Hiyo Mamlaka mtambue kuwa ni ya kupokezana Kuna siku itafika haitakuwa yenu.
So mkiwa na mamalaka Jambo moja tu linatakiwa, Ni 'kutenda kwa haki' na si 'kukomoa watu' kwa kuexercise Uhuru wao ndani ya nchi yao!
 
Kuexercise Uhuru uliopwe na katiba sio kushindana na Mamlaka mbona nyie watu mnafanyanwatunmazuzu au mnataka watu wawe Kama makondooo?.
Ukiambiwa nenda kushoto unaenda na hutakiw kuuliza kwa nini?
Hiyo Mamlaka mtambue kuwa ni ya kupokezana Kuna siku itafika haitakuwa yenu.
So mkiwa na mamalaka Jambo moja tu linatakiwa, Ni 'kutenda kwa haki' na si 'kukomoa watu' kwa kuexercise Uhuru wao ndani ya nchi yao!
matatizo ya kutumia uhuru uliopewa kuvuka mipaka ndiyo yanamkost mbowe wenu
 
Inasikitisha sana miaka 60 tangu tupate uhuru bado hatuwezi kujisimamia wenyewe ni aibu sana siju wazungu huwa wanatuonaje.
Jiulize pia wazungu wanatuonaje pale Lissu na CHADEMA wanaposhawishi nchi zao zituwekee vikwazo vya kiuchumi pale serikali yetu inapochukua hatua mahususi za kuifanya Tanzania isimame yenyewe bila kutegemea misaada ya nje, mfano tulipoweka sheria mpya ya madini. Ni wazi wanaona CHADEMA kuwa ni chama kilichojaa magaidi na wahujumu uchumi. Kwa kweli Chadema inatupa aibu sana mbele ya wazungu wako hao unaowahusudu.. Yaani wewe hujali aibu yako na taifa lako badala yake unajali aibu wanaoona wazungu? Hivi Chadema kwa nini mnawahusudu sana wazungu?
 
yaani hapo ndiyo huwaga mnakosea sana eti dunia inawaona ? ulishaona wapi hao wa duniani wakamfosi nchi ifanye wanavyotaka wao wenyewe wanamapungufu yao kibao nyie zoeeni tu huyo umnampelekea chai kila siku gaidi wenu mpaka miaka kadhaa
Makaburu SA walikuwa maguvu na uwezo mkubwa sana kwa karibu kilakitu, nao walidhani wamemmaliza Mandela
 
Mambo mengine badala ya kusikitisha, yanachekesha....

Hii ni aibu kubwa sana. Bora wangetoa kisingizio kingine...

Waendelee kutesa watu, ila wajue Corona yupo, anafanya malipizi pale raia wanapokosa njia ya kujitetea....
MUNGU anaipenda Tanzania na watu wake..
Tutarudi kati muda sio mrefu Blaza.
 
Utoto at work. Hapo wazungu wanaachaje kutuita manyani kwa mfano?
Kuna ubaya gani kuwa nyani? Ni kipi kinakufanya wewe ujione ni bora kuliko nyani? Kujifungia ndani ya maukuta mazito mazito na walinzi juu? Nikupeleke maporini wanakoishi nyani ukaishi huko utachukua hata siku 3? Also acha kuwahusudu hao wazungu, ni binadamu tu kama wewe, hawana uspesho wowote
 
Jiulize pia wazungu wanatuonaje pale Lissu na CHADEMA wanaposhawishi nchi zao zituwekee vikwazo vya kiuchumi pale serikali yetu inapochukua hatua mahususi za kuifanya Tanzania isimame yenyewe bila kutegemea misaada ya nje, mfano tulipoweka sheria mpya ya madini. Ni wazi wanaona CHADEMA kuwa ni chama kilichojaa magaidi na wahujumu uchumi. Kwa kweli Chadema inatupa aibu sana mbele ya wazungu wako hao unaowahusudu.. Yaani wewe hujali aibu yako na taifa lako badala yake unajali aibu wanaoona wazungu? Hivi Chadema kwa nini mnawahusudu sana w
Pia jiulize kama tunge kuwa na utaratibu wakutatua matatizo yetu haya yange tokea?
Lisu na wengine wametendewa mabaya kwa lengo la kuwazima kibabe sasa wao wafanyeje!
 
Back
Top Bottom