Pre GE2025 Mbowe asishupaze shingo. Lissu anamwaga petroli kwenye mbao za CHADEMA huku akiwa ameshika kiberiti

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Asijiondoe bali kura ziamue nani mshindi kwa haki bila figisu. Na hii ndio itakuwa demokrasia ya mfano. Hii mitifuano haina Maana.
 
Asijiondoe bali kura ziamue nani mshindi kwa haki bila figisu. Na hii ndio itakuwa demokrasia ya mfano. Hii mitifuano haina Maana.
Tatizo wanabagazana hadharani.

Mbowe anamwita mwenzake mbangaizaji, pia anasema anadharau wenzake.

Lisu anazidi kumwaga udhaifu wa Mbowe kwenye kadamnasi. Mfano anasema tuzo aliyopewa Samia na bawacha ilikuwa maamuzi ya Mbowe.
 
Kwamba Lissu anakubalika mtaani ni big YES, ila kwamba ana dhamira ya zati ya kuleta 'ukombozi' ni big NO.
Politicians can never be trusted, they're one and the same.
Lissu from what he is doing proves that he is bloody selfish, yaani ameamua kupaka mimavi all over kiasi kwamba asipoupata u-chairman basi bora chama kisambaratike,what the heck....! . Siamini kama Mbowe atagomgea kama kweli anataka kulinda reputation yake ila akigombea bila hata ya rushwa lazima atashinda, majority ya wapiga kura kwenye hicho chama chao ni chawa wake(his stooges) therefore akigombea it's gonna be an easy win for him.
 

Mkuu , Mbowe tiyari ameshakula pesa nyingi za watu wa CCM, wewe unafikiri atawaeleza nini watu au unataka apoteze Mali zake arudi kwenye ukapuku?
 
Chadema walipiga Kelele sana Wakati wa Utawala wa Magufuli baada ya Speculations kuwa mzee ata extended terms ofisini, Leo Mbowe anaona Kabisa Kungatuka Hakumfai anatamani Afie kwenye Uwenyekiti wa Chama leo anasema Eti apewe 5 yrs More ili nae astaafu kama Kina Mzee Mtei kitu ambacho akifika hio 68 still ataomba More time tu
 
Naogopa mtu asimrushie Lissu jiwe gizani na asingizie ni Mbowe karusha hilo jiwe. Siasa ni mchezo mchafu sana. Wasiwasi ni kwamba Lissu akipewa tiketi tu, ikulu ni yake. Hao wenye wasiwasi ni "shida".
 
Mbowe asijiodoe kwenye kinyanganyiro anatakiwa oneshwa sayansi ya siasa
 
Mkuu hiyo petrol yenyewe ndio hii hapa nimejifunza mengi sana kumbe chadema ni chama cha hovyo sana


View: https://www.youtube.com/watch?v=U1vjcZOGJZ4
 
sasa huyu.Risu ni mtu wa ajabu sana na mbowe wake. yaani uchaguzi unaowahusu wao wenyewe wanatoleana maneno hadi na siri za ndani wanazitoa.

wananchi watawaaamini vipi pindi wanapotaka uongozi wa juu kwa wananchi ote!!

Risu alishanunuliwa tangu kipindi kile ya msigwa .hapo amebaki makusudi kuja kumchafua mbowe kwanza na chama chake akishamaliza kunasehem atatimkia au atajifanya hataki tena siasa.
 
Daaaaaaah! Na wewe mkuu unayaamini hayo?
Mkuu Giti,@ghiti milimo,vitu vingine sio mambo ya imani,using just a common sense kila kitu kinaonekana wazi,with naked eyes wala huhitaji rocket science kulijua hilo。
P
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…