Asijiondoe bali kura ziamue nani mshindi kwa haki bila figisu. Na hii ndio itakuwa demokrasia ya mfano. Hii mitifuano haina Maana.Ningelikuwa mshauri wa Mbowe ningemshauri awe mpole tu. Huku mitaani na mitandaoni kote watu wanayaamini maneno ya Lisu. Mbowe anaonekana ni mwizi, mlaghai, mra rushwa na king'ang'anizi wa madaraka.
Mbowe akishupaza shingo na kuendelea na msimamo wake, basi mbao za chadema zitagawanywa ama kupunguzwa na petroli (maneno) aliyobeba Lisu.
Bado nafasi ya kukinusuru chama ipo. Nayo ni Mbowe kujiondoa kwenye kinyangg'anyiro.
Huu ni ushauri tu kwa wenye saccos yao.