Bams
JF-Expert Member
- Oct 19, 2010
- 19,362
- 48,879
Usijenge hoja kwa kuegemea uwongo. CHADEMA haijawahi kupata hati chafu. Hati ya mashaka ni tofauti sana na hati chafu. Na walipotolea maelezo juu ya hati ya mashaka, walikubaliwa.Wanachama wengi wa chadema wanamwangalia mbowe kwenye mazuri aliyofanya tu bila kuangalia sehemu alikoshindwa kama
1: Kushindwa kuchukua hatua kali za kichama kupinga kuzuiwa kwa mikutano na mahandamano ya vyama vya siasa.
2: Kutokuwa na ofisi za kujenga majengo mengi wanapanga nilitegemea wawe na makao makuu dodoma.
3: Kuwa na active member wa kudumu kila kijiji wanaochangia chama.
4: Mbowe aeleze kwa nini chadema uwa kinapa hati chafu/mashaka kila mwaka?
5: Kwanini mtu akimkosoa mwenyekiti ni kosa ndani ya chadema?
6: Kwanini wabunge uwa wanachangishwa laki 5 kila mwezi kwa lazima ndandi ya chadema?
Kiufupi mbowe anatakiwa kujibu mambo mengi sana kabla ajaeleza kwanini anautaka tena uwenyekiti taifa.
Maelezo yaliyotolewa ni kuwa wakati wa uchaguzi, kuna wanachama walijitolea huduma kwa CHADEMA kama vile malazi, usafiri, mafuta, chakula na kumbi. CHADEMA walizithamanisha huduma hizo, wakaziingiza kama mapato, wakatoa kama matumizi, na hivyo kutokuwa na stakabadhi za matumizi (receipts).
Waliambiwa na CAG walichokifanya kihasibu hakikubaliki. Huo siyo wizi na wala haukusababisha kupewa hati chafu bali waliambiwa watolee maelezo.
Ukiweka uwongo sehemu moja, hoja yako yote, na wakati fulani, hata wewe mwenyewe, unaishia kudharaulika.