Mbowe asitumie ukubwa wa jina lake kushinda uchaguzi CHADEMA

Usijenge hoja kwa kuegemea uwongo. CHADEMA haijawahi kupata hati chafu. Hati ya mashaka ni tofauti sana na hati chafu. Na walipotolea maelezo juu ya hati ya mashaka, walikubaliwa.

Maelezo yaliyotolewa ni kuwa wakati wa uchaguzi, kuna wanachama walijitolea huduma kwa CHADEMA kama vile malazi, usafiri, mafuta, chakula na kumbi. CHADEMA walizithamanisha huduma hizo, wakaziingiza kama mapato, wakatoa kama matumizi, na hivyo kutokuwa na stakabadhi za matumizi (receipts).

Waliambiwa na CAG walichokifanya kihasibu hakikubaliki. Huo siyo wizi na wala haukusababisha kupewa hati chafu bali waliambiwa watolee maelezo.

Ukiweka uwongo sehemu moja, hoja yako yote, na wakati fulani, hata wewe mwenyewe, unaishia kudharaulika.
 
Ukitaka ujute kuzaliwa,hoji kuhusu fedha za chadema
 
Maswali ya kitoto sana haya.
 
coment Zinaonyesha Jinsi Gani Wafuasi Wengi Chadema Walivyo Weupe Kichwani.
Haya ni mawazo yako na kwa maon yangu nasema umeandika kwa hisià biĺa tafakuri ya kina juu ya wakati tulionao. Magufuli amefanikiwa kuwafanya watu maskini na kuendesha nchi kihuni. Je umeenda mbele zaid kufikiria mfumo tulionao wa kuendesha nchi kihuni huku wanasiasa wakigeuzwa bidhaa kuńunuliwa?Unafikiri ni jambo jepes changamoto anazopitia Mbowe?Achana na propaganda za kitoto zinazoenezwa na watu wenye dola dhidi ya Mbowe. Km anakula ruzuku kiholela PCCB inafànya kaz gan wakati ni hela za umma?Utasikia majuhà fulan eti Mbowe alipanga mipango ya kumuua Chacha Wangwe na jaribio la Lissu huku wakijiita chama dola ambacho hakiwez kumkamata muuaji anayewanyima usingizi,huu ni ujuha wa kiwango cha lami.
 
Ni kweli Mbowe kaongoza muda mrefu, lakini najiuliza ni nani akabidhiwe chama asiwe na mihemko au asinunulike na GAMBA?
 
Uchaguzi wa chadema sioni kama una maana yeyote!
 
Sumaye
Katanagaza kugombea Uenyekiti Taifa.

Matokea take kafanyiwa figisu hadi uenyekitiki wa kanda kaukosa chezea Mbowe wewe.!

Aidha umeamua kupotosha kwa makusudi au umeamua kuja na mawazo ya bendera fuata upepo. Mimi siafiki kabisa Mbowe kuendelea kuwa mwenyekiti wa cdm bila kujali utetezi wa aina yoyote ile. Ila kusema eti Sumaye alikosa uenyekiti wa kanda kisa alitaka uenyekiti wa Taifa huo ni upotoshaji wa wazi. Ninachojua siku ya uchaguzi hakukuwa na machafuko wala box la kura kuibiwa. Sasa kama uchaguzi ulikuwa huru na wa haki alitakaje kwa mfano? Tunachokataa sisi ni ni wizi wa kura au machafuko siku ya upigaji kura. Kama mazingira yalikuwa ya amani, kushindwa ni matokeo halali.
 
Nyau weye, utamtenganishaje na jina lake wakati kalijenga mwenyewe kwa jasho, damu na hasara kibao wakati wewe ukiwa chocho uinywa gongo! Acha wivu wa kike, utasutwa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…