Jethro
JF-Expert Member
- Mar 23, 2009
- 2,219
- 371
Wana JF,
Leo Nimetinga Jiji la Arusha na kukutana na Shamla Shamla za mapokezi ya M/Kiti wa CHADEMA Mr. F. Mbowe nilicho kiona duuuh ni kama vile mji wote watapigia kura CHADEMA.
Wana JF, hapa arusha kama kweli ndio hii basi ndugu zangu wa CCM kazi mnayo hapa Jimbo la Arusha.
Hii ni ile hali ya lala salama sasa. nami karibia nirudi wahi kupiga kura Nyamagana sasa