Elections 2010 Mbowe atikisa mjini Arusha...

Jethro

JF-Expert Member
Joined
Mar 23, 2009
Posts
2,219
Reaction score
371
Wana JF,

Leo Nimetinga Jiji la Arusha na kukutana na Shamla Shamla za mapokezi ya M/Kiti wa CHADEMA Mr. F. Mbowe nilicho kiona duuuh ni kama vile mji wote watapigia kura CHADEMA.

Wana JF, hapa arusha kama kweli ndio hii basi ndugu zangu wa CCM kazi mnayo hapa Jimbo la Arusha.

Hii ni ile hali ya lala salama sasa. nami karibia nirudi wahi kupiga kura Nyamagana sasa
 
Afike na tarime jama mbona wamemwacha waitara peke yake na wanajua mwera alipoondoka aliacha kakidonda flani hivi huko?
 
ccm wanashindwa kusoma alama za nyakati kua wamasai na waarusha kihistoria hawatawaliwi na wanawake kwa iyo tukio kama hili la ccm kumsimamisha mwanamke kugombea ubunge ni wamevunjiwa heshima kupita kiasi!
 
Huu umati hapa viwanja vya unga limited ni wa kihistoria.......Jamani walio karibu na Jk na CCM yake wawashauri ya kuwa waseme wanayakubali matakwa ya watanzania.............................
 
Anaelekea viwanja vya NMC au terati na wanatokea mshono kuhutubia kama nilivyo elezwa na mwanyeji wangu hapa Arusha nadhani watu wote wa maeneo ya Unga Ltd kama sija kosea waatajaaaza uwanaja huo na mjini kati maeneo ya stand ya mabasi yayaendayo mikoani kama mkutano utakuwa hapo NMC.

Nadhani hii ni tosha kabisa kuwa Democrasia inakwenda inabadilika taaaratibu na wananchi wanashangilia tu vizuri na police wana walinda kwa usalama mzuri kama nilivyoona kwa macho yangu. Nadhani kutakuwa na utulivu tuuu.
 
Mbowe aende na kule Busanda kwa Magesa akatie chachu.
 
habari hizi si za ukweli ndo kwanza wanapita hapa uhuru road na magari yasiyozidi ishirini auchini yake, hakunala zaidi wala mji haujatetemeka wala hakukuwa na matangazo ya kutisha, na pia watu wamekuwa wakiwaonyeshea alama ya ccm kila wananyoosha antena , maana ccm imeshika chanel zote. Isitoshe ni wengi wao ni wakazi wa moshi waliokuja na mbowe. msidanganye watu ni kama msafarawa harusi ya hali ya chini tu.
 
Nami nimeshuhudia msafara ukielekea huko NMC, kwa kweli watu wamejitolea sana, magari pikipiki n.k ukizingatia CDM hawawalipi hawa watu kama wafanyavyo CCM. inatia moyo sana juu ya mwamko mpya wa Watanzania
 
habari hizi si za ukweli ndo kwanza wanapita hapa uhuru road na magari yasiyozidi ishirini auchini yake, hakunala zaidi wala mji haujatetemeka wala hakukuwa na matangazo ya kutisha, na pia watu wamekuwa wakiwaonyeshea alama ya ccm kila wananyoosha antena , maana ccm imeshika chanel zote. Isitoshe ni wengi wao ni wakazi wa moshi waliokuja na mbowe. msidanganye watu ni kama msafarawa harusi ya hali ya chini tu.

Pole na kazi Subira, wamekuacha mwenyewe hapa JF, kwa nini? Wapi MS, Jeykey nk? Nimependa style yako ya spinning
 
habari hizi si za ukweli ndo kwanza wanapita hapa uhuru road na magari yasiyozidi ishirini auchini yake, hakunala zaidi wala mji haujatetemeka wala hakukuwa na matangazo ya kutisha, na pia watu wamekuwa wakiwaonyeshea alama ya ccm kila wananyoosha antena , maana ccm imeshika chanel zote. Isitoshe ni wengi wao ni wakazi wa moshi waliokuja na mbowe. msidanganye watu ni kama msafarawa harusi ya hali ya chini tu.

Una macho lakini hayaoni. Kazi kweli kweli.
 
habari hizi si za ukweli ndo kwanza wanapita hapa uhuru road na magari yasiyozidi ishirini auchini yake, hakunala zaidi wala mji haujatetemeka wala hakukuwa na matangazo ya kutisha, na pia watu wamekuwa wakiwaonyeshea alama ya ccm kila wananyoosha antena , maana ccm imeshika chanel zote. Isitoshe ni wengi wao ni wakazi wa moshi waliokuja na mbowe. msidanganye watu ni kama msafarawa harusi ya hali ya chini tu.

Duh wewe mwenzetu uko mtaa gani maana mm niko uwanjani tayari. Ulichosema sii cha kweli. Mwachakachua kila kitu .
 
Afike na tarime jama mbona wamemwacha waitara peke yake na wanajua mwera alipoondoka aliacha kakidonda flani hivi huko?

.
Ni kweli mkuu, waandamizi wa chadema wasiache kabisa kutofika Tarime kabla ya mda wa campaign kwisha. Hapa tarime panawakilisha alama ya ukakamavu ya mageuzi nchini!!
 
habari hizi si za ukweli ndo kwanza wanapita hapa uhuru road na magari yasiyozidi ishirini auchini yake, hakunala zaidi wala mji haujatetemeka wala hakukuwa na matangazo ya kutisha, na pia watu wamekuwa wakiwaonyeshea alama ya ccm kila wananyoosha antena , maana ccm imeshika chanel zote. Isitoshe ni wengi wao ni wakazi wa moshi waliokuja na mbowe. msidanganye watu ni kama msafarawa harusi ya hali ya chini tu.

Deformed mentally!
 
bwa ha ha ha ha ha
 
habari hizi si za ukweli ndo kwanza wanapita hapa uhuru road na magari yasiyozidi ishirini auchini yake, hakunala zaidi wala mji haujatetemeka wala hakukuwa na matangazo ya kutisha, na pia watu wamekuwa wakiwaonyeshea alama ya ccm kila wananyoosha antena , maana ccm imeshika chanel zote. Isitoshe ni wengi wao ni wakazi wa moshi waliokuja na mbowe. Msidanganye watu ni kama msafarawa harusi ya hali ya chini tu.

wee subira wacha kupotosha watu, tangu lini nmc ikawa uhuru road?
Kifo chenu kinakaribia 31.10.2010
 
CHADEMA wamtume pia ZITTO pale Mwanza akafukie mashimo ya JK aliyoweka jana.Wakifanya hivyo watawachanganya sana CCM kwani wao hawakuwa na plan kama hiyo.
 
Zito au dr slaa lazima arudi mwanza, busanda na tarime, kwimba kwa reticia nyerere hayo ni majimbo yanayohitaji final touch kuyaweka kibindoni
 
habari hizi si za ukweli ndo kwanza wanapita hapa uhuru road na magari yasiyozidi ishirini auchini yake, hakunala zaidi wala mji haujatetemeka wala hakukuwa na matangazo ya kutisha, na pia watu wamekuwa wakiwaonyeshea alama ya ccm kila wananyoosha antena , maana ccm imeshika chanel zote. Isitoshe ni wengi wao ni wakazi wa moshi waliokuja na mbowe. msidanganye watu ni kama msafarawa harusi ya hali ya chini tu.
Inaelekea wewe ni dakta mpindisho (spin-doctor) kwani kwako watu wengini wachache kama msafara wa arusi ya hali ya chini. Ndugu yangu kubali yaishe.
 
wana jf,

leo nimetinga jiji la arusha na kukutana na shamla shamla za mapokezi ya m/kiti wa chadema mr. F. Mbowe nilicho kiona duuuh ni kama vile mji wote watapigia kura chadema.

wana jf, hapa arusha kama kweli ndio hii basi ndugu zangu wa ccm kazi mnayo hapa jimbo la arusha.

hii ni ile hali ya lala salama sasa. Nami karibia nirudi wahi kupiga kura nyamagana sasa

huu muda mnaoutumia kudanganya watu ndio utakaowacost chadema, hamna kitu kama hicho hapa arusha!
 
Back
Top Bottom