Mbowe atumia lugha chafu. Amuita DC Ilemela mjinga, hana Wilaya

Kamanda Asiyechoka

JF-Expert Member
Joined
Sep 13, 2020
Posts
3,315
Reaction score
5,058
"Watu wanadai katiba its about our life, RAIS anaita chokochoko, na sasa wameibuka na viongozi wa ajabu mfano kuna DC mjinga mjinga hapa ilemela aliita waandishi wa habari kuwaambia kuwa haruhusu mikutano ya hadhara wilayani kwangu. Wewe una wilaya yako?" @freemanmbowet
===
1626778501497.png
 
huyu mzee mbona kacharuka baada ya sabaya kuachiwa huru
 
"Watu wanadai katiba its about our life, RAIS anaita chokochoko, na sasa wameibuka na viongozi wa ajabu mfano kuna DC mjinga mjinga hapa ilemela aliita waandishi wa habari kuwaambia kuwa haruhusu mikutano ya hadhara wilayani kwangu. Wewe una wilaya yako?" @freemanmbowetz https://t.co/dCK06EfnJM
Huo ndiyo ukweli DC wa Ilemela ni mjinga!
 
Kamanda mchovu sasa tuambie hiyo ni ramli chonganishi au ujumbe wako ni upi hasa, uongo ni upi hapo?
 
Huyo mzee aangaliwe vizuri akili yake imeanza kupungua kwa kasi
 
Back
Top Bottom