Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
naye si amechanjwa dubai lazima ndiyo zinaanza kufanya kazi na bado ataropoka sanaHizi chanjo zitakuwa na madhara kwa afya ya akili. Mwenyekiti aangaliwe vizuri atakuwa hayuko sawa. Mtu aliyekuwa na utulivu akianza mambo ya namna hii sio dalili njema kabisa (asomaye na afahamu).
Kama ndiyo hivyo basi wachague watu wa maana. Kuna wajunga wajinga wengi wamepata teuzi....!!Ukimtukana mkuu wa wilaya ni sawa na kumtukana raisi.
What?Ni kwel ile lugha ni chafu, mbowe angepaswa kutumia lugha ya staha kama ya marehemu mkapa, angesema yule DC ni lofa na ni mpambavu basi ingetosha tu.
Kwani yeye ana hasara gani kama sabaya ataachiwa huru?kwani makonda sasa hivi si yuko huru lakini mbona wengi wanafurahi?!!yaani yule sabaya hata leo akiachiwa huru akaishi bila madaraka ni adhabu tosha kabisa kwake, kwani madaraka waliyaona kama ni Umungu fulani hivi!!huyu mzee mbona kacharuka baada ya sabaya kuachiwa huru
Tena sio mjinga tu ni bwabwa!!mleta mada wewe ni mjinga zaidi ya huyo dc.
Yuko sahihi, mtu anayesema maneno ya kijinga ni mjinga tu"Watu wanadai katiba its about our life, RAIS anaita chokochoko, na sasa wameibuka na viongozi wa ajabu mfano kuna DC mjinga mjinga hapa ilemela aliita waandishi wa habari kuwaambia kuwa haruhusu mikutano ya hadhara wilayani kwangu. Wewe una wilaya yako?" @freemanmbowet
===
View attachment 1860888
Bora upigwe ban umezidi upuuzi"Watu wanadai katiba its about our life, RAIS anaita chokochoko, na sasa wameibuka na viongozi wa ajabu mfano kuna DC mjinga mjinga hapa ilemela aliita waandishi wa habari kuwaambia kuwa haruhusu mikutano ya hadhara wilayani kwangu. Wewe una wilaya yako?" @freemanmbowet
===
View attachment 1860888
Panya amekosa adabu, akiachwa kidogo anajifanya mwenye nyumbaSio timu fisi wametawala,?panya tena?
Panya sii hatari kama fisi,hivyo yafaa kupambana nao kwanza.Panya amekosa adabu, akiachwa kidogo anajifanya mwenye nyumba
Fisi yuko porini, Panya anaweza haribu kila kitu nyumban huyu ndio hatari maana tunaishi nao, ndio maana tunamtafutia Paka, sasa Paka kaondoka Panya kajimilikisha nyumba , huyu atakuwa Panya bukuPanya sii hatari kama fisi,hivyo yafaa kupambana nao kwanza.
Mrudisheni mwenyekiti kwenye lockdown
Corona ni hatari atiiii
Yeye kachanjwa Dubai. Tena chanjo ya nguvu kuliko zote duniani , ya Pfizer. Hao anaowakusanya kwenye makongamano anataka waambukizane na kuisambaza hii corona ya delta, watanzania wapukutike huku yeye achikelea. Tusikubali mikusanyiko ya makongamano yake. Eti wanadai katiba ya Waryoba? Si watengeneze ya kwao halafu ndiyo waidai tuipitishe? Hiyo ya Waryoba ilikataliwa: sasa ikirudishwa tena si itakataliwa tena kwani wabunge walio wengi bado ni wale wale wa ccm. Si itakuwa ni kupoteza muda na pesa bure kwani katiba haitungwi na chadema?Mrudisheni mwenyekiti kwenye lockdown
Corona ni hatari atiiii
Kwan uongo?Acha ujinga ujinga
Kamanda usiechoka kutoka Lumumba FC, kuna mwenzako wa uvccm anakutafuta mkuu!!"Watu wanadai katiba its about our life, RAIS anaita chokochoko, na sasa wameibuka na viongozi wa ajabu mfano kuna DC mjinga mjinga hapa ilemela aliita waandishi wa habari kuwaambia kuwa haruhusu mikutano ya hadhara wilayani kwangu. Wewe una wilaya yako?" @freemanmbowet
===
View attachment 1860888