Kamanda Asiyechoka
JF-Expert Member
- Sep 13, 2020
- 3,315
- 5,058
😄huyu mzee mbona kacharuka baada ya sabaya kuachiwa huru
Acha ujinga ujingaKaeni na mavi yenu nyumbani, 😂😂😂
Huo ndiyo ukweli DC wa Ilemela ni mjinga!"Watu wanadai katiba its about our life, RAIS anaita chokochoko, na sasa wameibuka na viongozi wa ajabu mfano kuna DC mjinga mjinga hapa ilemela aliita waandishi wa habari kuwaambia kuwa haruhusu mikutano ya hadhara wilayani kwangu. Wewe una wilaya yako?" @freemanmbowetz https://t.co/dCK06EfnJM
Kule Ikungi nae Muro anasema Wilaya yakeMakonda, mkoa wangu wa Dar es salaam [emoji23]
Wewe unatumia makalio kufikirimleta mada hata wewe ni mjinga
Acha ujinga ujinga
Sabaya aachiwe uhuru na Nani???Sabaya ana mimba ya nyapara,hatoki mpaka Azaehuyu mzee mbona kacharuka baada ya sabaya kuachiwa huru
Ukiwa mlaji wa Maksai ndio majibu yakemleta mada wewe ni mjinga zaidi ya huyo dc.
Akiachiwa baada ya robo saa wanamzikahuyu mzee mbona kacharuka baada ya sabaya kuachiwa huru
"Watu wanadai katiba its about our life, RAIS anaita chokochoko, na sasa wameibuka na viongozi wa ajabu mfano kuna DC mjinga mjinga hapa ilemela aliita waandishi wa habari kuwaambia kuwa haruhusu mikutano ya hadhara wilayani kwangu. Wewe una wilaya yako?" @freemanmbowetz https://t.co/dCK06EfnJM
Kamanda mchovu sasa tuambie hiyo ni ramli chonganishi au ujumbe wako ni upi hasa, uongo ni upi hapo?"Watu wanadai katiba its about our life, RAIS anaita chokochoko, na sasa wameibuka na viongozi wa ajabu mfano kuna DC mjinga mjinga hapa ilemela aliita waandishi wa habari kuwaambia kuwa haruhusu mikutano ya hadhara wilayani kwangu. Wewe una wilaya yako?" @freemanmbowetz https://t.co/dCK06EfnJM