Mbowe audhibiti mdomo wa Tundu Lissu

Ni suala la muda tu Lissu atawajibishwa na mmiliki wa chama, Mbowe. Hata kama ingekuwa mimi nisingeweza kuruhusu mtu aniharibie chanzo changu cha mapato kupitia ruzuku. Mbowe afanye haraka kumdhibiti huyu Lissu asije kumharibia zaidi.
 
uongo hautakusaidia chochote

Sent from my SM-J500H using JamiiForums mobile app
 
Mbowe na Lisu wote wamelambishwa asali,hawana jipya tena Kwenye siasa za bongo.mnao waamini mnapoteza muda wenu
 
Lissu kashtukia walamba asali. Chadema msipojipambanua mapema, ikulu mtaisikia kwenye bomba.
 
Huu mwandiko naukumbuka unafanana na articles tulizokuwa tunazipokea pale Hali Halisi Media nyakati za usiku🤣 tuzitoe gazetini. Enzi za Muungwana

Mleta makala na huu mwandiko ni kama walisoma shule moja
 
Ww hata usiposema unaonekana wazi, kibaya zaidi hata hao unaojipendekeza kwao wanajua kuwa unajikomba.
Huyo yupo inner circle. Anatuzuga tu kuwa ni kijana mzalendo.

Huu mchezo aliuanza zamani sana
 
Lisu anaongea facts , CCM hawana jipya isipokuwa mbinu chafu Za kubaki madarakani. Hawataki Tume huru ya uchaguzi wala katiba mpya, kwani wanajua ndiyo mwisho wao. Hao wanaoshutumiwa kuiba pesa Hakuna hata mmoja alipelekwa mahakamani, haya ndiyo mara nyingi Lisu huyaongelea.
 
Huyo yupo inner circle. Anatuzuga tu kuwa ni kijana mzalendo.

Huu mchezo aliuanza zamani sana
Mjinga fulani, analeta magazeti ya propaganda uchwara hapa jukwaani, kisha anaweka namba ya simu mwisho. Hata hivyo huyu jamaa sio wa zamani hapa jukwaani maana kajiunga jf mwaka jana katikati, labda kama alikuwa anakuja na id nyingine.
 
Ana ID nyingi za kimkakati.

Utiifu na ulaanifu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…