Mbowe audhibiti mdomo wa Tundu Lissu

Hivi kumbe na we njaa( mayala) ulisoma ilborou. Sas mbona nakuona kiazi sana. Halafu zamani nilikuwa najua yeyote anayesoma arts ni kiazi hata kama yupo ilborou
Arts una maana gani hapo?
Maana Mungu ni master wa Arts kwa universal yote
 
Lisu sio size yako chawa wewe
 
Luca,Lissu hajaja duniani kukufurahisha wewe na watu sampuli yako.Akikuzaba viganja vya machoni,nawe tafuta namna ya kuiponya nafsi yako.Ukijinunisha haikusaidii.
 
Acha ushabiki wa kitoto kwanini Jimbo linagawanywa? Sisi Wana Mbeya na Wana CCM tunaujua ukweli
Linagawanywa ili kuchochea utolewaji wa huduma kwa wananchi na kuwafikia wananchi kwa wepesi na uharaka,kuwasikiliza na kuwatembelea kwa urahisi
 
Kwani MBOWE ni Nani Hadi apangie watu cha kuzungumza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…