Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 2,060
- 5,648
Freeman Mbowe, aliykuwa Mwenyekiti wa CHADEMA, ame-share ujumbe wake wa kiroho na wanachama wa chama hicho baada ya uchaguzi wa ndani. Kupitia mtandao wa kijamii, wa X (zaman Twiter) Mbowe alieleza kuwa aliendelea kupata mwanga kupitia neno la leo kutoka katika Kalenda ya KKKT. Ataja Ushetani, Uongo pamoja na Mbingu.
Pia, Soma: Yanayojiri Uchaguzi Mkuu CHADEMA 2025: Tundu Lissu ashinda nafasi ya Mwenyekiti CHADEMA Taifa kwa Kura 513 sawa na 51.5%
Mbowe ameandika;
Nimesoma neno la leo katika Kalenda ya KKKT kwenye Biblia kutoka Kitabu cha Yakobo 3 : 13 - 18. Limenirutubisha. Natamani nanyi mrutubishwe nalo.
"Je, ni nani mwenye hekima na akili miongoni mwenu? Basi, aoneshe jambo hilo kwa mwenendo wake mzuri na kwa matendo yake mema yanayofanyika kwa unyenyekevu na hekima. Lakini ikiwa mioyo yenu imejaa wivu, chuki na ubinafsi, basi, msijisifu na kusema uongo dhidi ya ukweli. Hekima ya namna hiyo haitoki juu mbinguni; hekima hiyo ni ya ulimwengu, na ya kidunia, tena ni ya kishetani. Maana popote palipo na wivu na ubinafsi, hapo pana fujo na kila aina ya uovu. Lakini hekima itokayo juu mbinguni, kwanza ni safi; inapenda amani, upole na huwajali watu; imejaa huruma na huzaa matunda ya matendo mema; haina ubaguzi wala unafiki. Uadilifu ni mazao ya mbegu ambazo wapenda amani hupanda katika amani."