Pre GE2025 Mbowe awa motivation speaker baada ya kuangukia pua Uchaguzi CHADEMA, aibuka na ujumbe wa kiroho

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Freeman Mbowe, aliykuwa Mwenyekiti wa CHADEMA, ame-share ujumbe wake wa kiroho na wanachama wa chama hicho baada ya uchaguzi wa ndani. Kupitia mtandao wa kijamii, wa X (zaman Twiter) Mbowe alieleza kuwa aliendelea kupata mwanga kupitia neno la leo kutoka katika Kalenda ya KKKT. Ataja Ushetani, Uongo pamoja na Mbingu.

Pia, Soma: Yanayojiri Uchaguzi Mkuu CHADEMA 2025: Tundu Lissu ashinda nafasi ya Mwenyekiti CHADEMA Taifa kwa Kura 513 sawa na 51.5%

Mbowe ameandika;

Nimesoma neno la leo katika Kalenda ya KKKT kwenye Biblia kutoka Kitabu cha Yakobo 3 : 13 - 18. Limenirutubisha. Natamani nanyi mrutubishwe nalo.

"Je, ni nani mwenye hekima na akili miongoni mwenu? Basi, aoneshe jambo hilo kwa mwenendo wake mzuri na kwa matendo yake mema yanayofanyika kwa unyenyekevu na hekima. Lakini ikiwa mioyo yenu imejaa wivu, chuki na ubinafsi, basi, msijisifu na kusema uongo dhidi ya ukweli. Hekima ya namna hiyo haitoki juu mbinguni; hekima hiyo ni ya ulimwengu, na ya kidunia, tena ni ya kishetani. Maana popote palipo na wivu na ubinafsi, hapo pana fujo na kila aina ya uovu. Lakini hekima itokayo juu mbinguni, kwanza ni safi; inapenda amani, upole na huwajali watu; imejaa huruma na huzaa matunda ya matendo mema; haina ubaguzi wala unafiki. Uadilifu ni mazao ya mbegu ambazo wapenda amani hupanda katika amani."

Atajuata maisha yake yote kwa kitendo cha kutimuliwa na wanasaccos wenzie kupitia kura .Yote mema aliyofanya ni BURE na ndoto zake za kugombania URAIS ndio basi tena.
 
Freeman Mbowe, aliykuwa Mwenyekiti wa CHADEMA, ame-share ujumbe wake wa kiroho na wanachama wa chama hicho baada ya uchaguzi wa ndani. Kupitia mtandao wa kijamii, wa X (zaman Twiter) Mbowe alieleza kuwa aliendelea kupata mwanga kupitia neno la leo kutoka katika Kalenda ya KKKT. Ataja Ushetani, Uongo pamoja na Mbingu.

Pia, Soma: Yanayojiri Uchaguzi Mkuu CHADEMA 2025: Tundu Lissu ashinda nafasi ya Mwenyekiti CHADEMA Taifa kwa Kura 513 sawa na 51.5%

Mbowe ameandika;

Nimesoma neno la leo katika Kalenda ya KKKT kwenye Biblia kutoka Kitabu cha Yakobo 3 : 13 - 18. Limenirutubisha. Natamani nanyi mrutubishwe nalo.

"Je, ni nani mwenye hekima na akili miongoni mwenu? Basi, aoneshe jambo hilo kwa mwenendo wake mzuri na kwa matendo yake mema yanayofanyika kwa unyenyekevu na hekima. Lakini ikiwa mioyo yenu imejaa wivu, chuki na ubinafsi, basi, msijisifu na kusema uongo dhidi ya ukweli. Hekima ya namna hiyo haitoki juu mbinguni; hekima hiyo ni ya ulimwengu, na ya kidunia, tena ni ya kishetani. Maana popote palipo na wivu na ubinafsi, hapo pana fujo na kila aina ya uovu. Lakini hekima itokayo juu mbinguni, kwanza ni safi; inapenda amani, upole na huwajali watu; imejaa huruma na huzaa matunda ya matendo mema; haina ubaguzi wala unafiki. Uadilifu ni mazao ya mbegu ambazo wapenda amani hupanda katika amani."

Huyu Bado anaumia hajaridhika.Wenzake Huwa wanakaa kimyaa wakisikilizia wanaanza kuongea waliona mambo yanaharibika kama kete ya siasa Sasa kujisemesha hivi ni rahisi kusema Anachochea mivitano.

Ukistaafu Kaa kimya
 
Freeman Mbowe, aliykuwa Mwenyekiti wa CHADEMA, ame-share ujumbe wake wa kiroho na wanachama wa chama hicho baada ya uchaguzi wa ndani. Kupitia mtandao wa kijamii, wa X (zaman Twiter) Mbowe alieleza kuwa aliendelea kupata mwanga kupitia neno la leo kutoka katika Kalenda ya KKKT. Ataja Ushetani, Uongo pamoja na Mbingu.

Pia, Soma: Yanayojiri Uchaguzi Mkuu CHADEMA 2025: Tundu Lissu ashinda nafasi ya Mwenyekiti CHADEMA Taifa kwa Kura 513 sawa na 51.5%

Mbowe ameandika;

Nimesoma neno la leo katika Kalenda ya KKKT kwenye Biblia kutoka Kitabu cha Yakobo 3 : 13 - 18. Limenirutubisha. Natamani nanyi mrutubishwe nalo.

"Je, ni nani mwenye hekima na akili miongoni mwenu? Basi, aoneshe jambo hilo kwa mwenendo wake mzuri na kwa matendo yake mema yanayofanyika kwa unyenyekevu na hekima. Lakini ikiwa mioyo yenu imejaa wivu, chuki na ubinafsi, basi, msijisifu na kusema uongo dhidi ya ukweli. Hekima ya namna hiyo haitoki juu mbinguni; hekima hiyo ni ya ulimwengu, na ya kidunia, tena ni ya kishetani. Maana popote palipo na wivu na ubinafsi, hapo pana fujo na kila aina ya uovu. Lakini hekima itokayo juu mbinguni, kwanza ni safi; inapenda amani, upole na huwajali watu; imejaa huruma na huzaa matunda ya matendo mema; haina ubaguzi wala unafiki. Uadilifu ni mazao ya mbegu ambazo wapenda amani hupanda katika amani."

Chezea Mchagga kunyanganywa tonge la luzuku ya chama kila mwaka wewee? Acha kabisa!
 
Safi.
 
Back
Top Bottom