Pre GE2025 Mbowe awa motivation speaker baada ya kuangukia pua Uchaguzi CHADEMA, aibuka na ujumbe wa kiroho

Pre GE2025 Mbowe awa motivation speaker baada ya kuangukia pua Uchaguzi CHADEMA, aibuka na ujumbe wa kiroho

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
nadhani ni ujumbe muhimu zaidi kwa waropokaji na wenye midimo,

bilashaka ni suala la muda tu neno hilo litatimia kwa uwazi zaidi, maana kuna midomo haitulii kabisa 🐒
Comrade haupoi? 🤣🤣🤣
Vipi haujaridhika na ushindi wa Wakili Msomi aliyetukuka na asiyeshindwa Mh Tundu Antiphas Mughwai Lissu?
 
Comrade haupoi? 🤣🤣🤣
Vipi haujaridhika na ushindi wa Wakili Msomi aliyetukuka na asiyeshindwa Mh Tundu Antiphas Mughwai Lissu?
sichoki tu kufanya kazi muhimu ya siasa gentleman,

na suala la kuridhika ni jingine kabisa kwenye mambo haya muhimu ya kitaalamu kitaifa,

usomi ni dhana tu kwasabb wasomi tupo wengi tu tumetulia tuli na wala haturingi, hatujisifu wala kusifiwa 🐒
 
nadhani ni ujumbe muhimu zaidi kwa waropokaji na wenye midimo,

bilashaka ni suala la muda tu neno hilo litatimia kwa uwazi zaidi, maana kuna midomo haitulii kabisa 🐒
Wewe uliyekesha na Lucas Mwashambwa kusema kila aina ya maneno bado hamchoki kumfuatilia Lissu...angalia usije ukajikuta umerudisha kadi ya ccm na kujoin CDM.
 
Freeman Mbowe, aliykuwa Mwenyekiti wa CHADEMA, ame-share ujumbe wake wa kiroho na wanachama wa chama hicho baada ya uchaguzi wa ndani. Kupitia mtandao wa kijamii, wa X (zaman Twiter) Mbowe alieleza kuwa aliendelea kupata mwanga kupitia neno la leo kutoka katika Kalenda ya KKKT.

Pia, Soma: Yanayojiri Uchaguzi Mkuu CHADEMA 2025: Tundu Lissu ashinda nafasi ya Mwenyekiti CHADEMA Taifa kwa Kura 513 sawa na 51.5%

Mbowe ameandika;

Nimesoma neno la leo katika Kalenda ya KKKT kwenye Biblia kutoka Kitabu cha Yakobo 3 : 13 - 18. Limenirutubisha. Natamani nanyi mrutubishwe nalo.

"Je, ni nani mwenye hekima na akili miongoni mwenu? Basi, aoneshe jambo hilo kwa mwenendo wake mzuri na kwa matendo yake mema yanayofanyika kwa unyenyekevu na hekima. Lakini ikiwa mioyo yenu imejaa wivu, chuki na ubinafsi, basi, msijisifu na kusema uongo dhidi ya ukweli. Hekima ya namna hiyo haitoki juu mbinguni; hekima hiyo ni ya ulimwengu, na ya kidunia, tena ni ya kishetani. Maana popote palipo na wivu na ubinafsi, hapo pana fujo na kila aina ya uovu. Lakini hekima itokayo juu mbinguni, kwanza ni safi; inapenda amani, upole na huwajali watu; imejaa huruma na huzaa matunda ya matendo mema; haina ubaguzi wala unafiki. Uadilifu ni mazao ya mbegu ambazo wapenda amani hupanda katika amani."

Hatudanganyiki tena kwa maneno ya reja reja
 
Sauli wakati anaenda Damascus kuwaua Wana wa Mungu akasikia sauti ya Yesu Kristo ikimwambia " Sauli Sauli mbona waniudhi?"

Basi Sauli aliokoka Saa ile ile na kubatizwa akaitwa Paulo

Basi wale Wanasiasa mliostaafu hivi karibuni Muinjilisti Aggrey Mwanri amewafungulia milango

Karibuni sana 😄
 
Wewe uliyekesha na Lucas Mwashambwa kusema kila aina ya maneno bado hamchoki kumfuatilia Lissu...angalia usije ukajikuta umerudisha kadi ya ccm na kujoin CDM.
jiepushe na uptoshaji gentleman,

suala la kukesha kwa mchapakazi hodari ni kawaida tu,

mathalani,
leo jioni kuanzia majira ya saa3 usiku nitatoka dar es salaam kuelekea shamba, nategemea kufika mapema alfajiri na kuelekea moja kwa moja shamba,

Lakini siwez kuthubutu kukesha kwenye masuala yasiyo na tija wakati wananchi wanategemea kiongozi wao nionyeshe njia 🐒
 
Asante FAM
Nimesoma Neno na Kubarikiwa nalo!

Shida si kile tunachoona ili kutoa tafsiri Bali vile tunavyoona!

Kwani aonavyo mtu nafsini mwake ndivyo alivyo
 
Haya maneno yatatimia.ni wakati wa CHADEMA kukalishana chini,na kuzungumza kiutu uzima.
 
Sauli wakati anaenda Damascus kuwaua Wana wa Mungu akasikia sauti ya Yesu Kristo ikimwambia " Sauli Sauli mbona waniudhi?"

Basi Sauli aliokoka Saa ile ile na kubatizwa akaitwa Paulo

Basi wale Wanasiasa mliostaafu hivi karibuni Muinjilisti Aggrey Mwanri amewafungulia milango

Karibuni sana 😄
Aggrey Huyu huyu RC wa zamani?
 
Chadema kwisha habari yake leo Lema na Mbowe maadui wakati walikuwa wanashirikiana kuwapiga matofali kina Zito😂
 
Alufa na omega kageukia uchungaji? Hata Yeriko atamcheka 😁😁😁

GfMNLpyXYAA8ucg.jpeg

Aliambiwa kuwa huu ni mwaka wa kufosi 😁😁😁

IMG-20241223-WA0061.jpg
 
Back
Top Bottom