Comrade haupoi? π€£π€£π€£nadhani ni ujumbe muhimu zaidi kwa waropokaji na wenye midimo,
bilashaka ni suala la muda tu neno hilo litatimia kwa uwazi zaidi, maana kuna midomo haitulii kabisa π
sichoki tu kufanya kazi muhimu ya siasa gentleman,Comrade haupoi? π€£π€£π€£
Vipi haujaridhika na ushindi wa Wakili Msomi aliyetukuka na asiyeshindwa Mh Tundu Antiphas Mughwai Lissu?
Kafurushwa huyu na wapiga kura, hana hadhi ya mwenyekiti mstaafu.Shukrani Rtd Chair kwa neno la kiroho!
Wewe uliyekesha na Lucas Mwashambwa kusema kila aina ya maneno bado hamchoki kumfuatilia Lissu...angalia usije ukajikuta umerudisha kadi ya ccm na kujoin CDM.nadhani ni ujumbe muhimu zaidi kwa waropokaji na wenye midimo,
bilashaka ni suala la muda tu neno hilo litatimia kwa uwazi zaidi, maana kuna midomo haitulii kabisa π
Hatudanganyiki tena kwa maneno ya reja rejaFreeman Mbowe, aliykuwa Mwenyekiti wa CHADEMA, ame-share ujumbe wake wa kiroho na wanachama wa chama hicho baada ya uchaguzi wa ndani. Kupitia mtandao wa kijamii, wa X (zaman Twiter) Mbowe alieleza kuwa aliendelea kupata mwanga kupitia neno la leo kutoka katika Kalenda ya KKKT.
Pia, Soma: Yanayojiri Uchaguzi Mkuu CHADEMA 2025: Tundu Lissu ashinda nafasi ya Mwenyekiti CHADEMA Taifa kwa Kura 513 sawa na 51.5%
Mbowe ameandika;
Nimesoma neno la leo katika Kalenda ya KKKT kwenye Biblia kutoka Kitabu cha Yakobo 3 : 13 - 18. Limenirutubisha. Natamani nanyi mrutubishwe nalo.
"Je, ni nani mwenye hekima na akili miongoni mwenu? Basi, aoneshe jambo hilo kwa mwenendo wake mzuri na kwa matendo yake mema yanayofanyika kwa unyenyekevu na hekima. Lakini ikiwa mioyo yenu imejaa wivu, chuki na ubinafsi, basi, msijisifu na kusema uongo dhidi ya ukweli. Hekima ya namna hiyo haitoki juu mbinguni; hekima hiyo ni ya ulimwengu, na ya kidunia, tena ni ya kishetani. Maana popote palipo na wivu na ubinafsi, hapo pana fujo na kila aina ya uovu. Lakini hekima itokayo juu mbinguni, kwanza ni safi; inapenda amani, upole na huwajali watu; imejaa huruma na huzaa matunda ya matendo mema; haina ubaguzi wala unafiki. Uadilifu ni mazao ya mbegu ambazo wapenda amani hupanda katika amani."
Ni sawa na ulikuwa unalipwa Salary 5M then inashuka ghafla 1.8M. Aisee unachanganyikiwa kabisa.Kuondolewa kwenye kazi uliyoizoea yataka moyo lazima uweweseke mwanzoni,atakuja kuzoea tu
So saad Yakobo ipo kwenye Agano JipyaDuniani kote Mwanasiasa anaposhindwa hutafuta Uhalali kwenye Agano la Kale πππ
Miaka zaidi ya 20 amekalia kiti , leo ghafla anaondolewa bila kutarajia lazima uchanganyikiwe, inaumiza sanaNi sawa na ulikuwa unalipwa Salary 5M then inashuka ghafla 1.8M. Aisee unachanganyikiwa kabisa.
jiepushe na uptoshaji gentleman,Wewe uliyekesha na Lucas Mwashambwa kusema kila aina ya maneno bado hamchoki kumfuatilia Lissu...angalia usije ukajikuta umerudisha kadi ya ccm na kujoin CDM.
Wapi nilipotaja Yakobo?So saad Yakobo ipo kwenye Agano Jipya
Aggrey Huyu huyu RC wa zamani?Sauli wakati anaenda Damascus kuwaua Wana wa Mungu akasikia sauti ya Yesu Kristo ikimwambia " Sauli Sauli mbona waniudhi?"
Basi Sauli aliokoka Saa ile ile na kubatizwa akaitwa Paulo
Basi wale Wanasiasa mliostaafu hivi karibuni Muinjilisti Aggrey Mwanri amewafungulia milango
Karibuni sana π
Hakika bwasheeDuniani kote Mwanasiasa anaposhindwa hutafuta Uhalali kwenye Agano la Kale [emoji23][emoji23][emoji23]
Umepigwa na kitu kizitoπππChadema kwisha habari yake leo Lema na Mbowe maadui wakati walikuwa wanashirikiana kuwapiga matofali kina Zitoπ