Clouds 360 kipindi pendwa cha MTU FURANI na Watangazaji wote wanakipendelea CHAMA FURANI unategemea MBOWE aende au afanye mahojiano ya kupoteza muda?View attachment 1486909
View attachment 1486904
Wasalaam wana jamvi!
Leo Clouds kupitia Clouds 360 walikuwa wamemuandalia Freeman Mbowe mahojiano ambayo angepata wasaha wakutoa ufafanuzi wa mambo kadhaa yanayo muhusu yeye na chama chake!
Lakini chakushangaza Ndugu Mbowe ametafutwa bila mafanikio na hata walipo ulizwa viongozi wenzie walikosa la kujibu wakisema hawajui alipo!
Kinachoshangaza zaidi ni kwanini Mbowe sasa hivi ana vikimbia vyombo vya habari? Chadema huwa hawakimbii wana habari lakini safari hii Mbowe amekuwa wa kwanza kuvikimbia vyombo vya habari na kujificha kusiko julikana!
Hata hivyo kila mtu bado anajiuliza kwanini Mbowe ana vikimbia vyombo vya habari? Kuna nini ana kificha?
Clouds wamemtafuta sana lakini imeshindikana na inaonekana wazi Mh Mbowe ataki kabisa kuonana na wana habari!
Ni mara chache nimewahi kumuona Mbowe akishiriki interview zaid ya kutoa matamko ya Chama chake.nahisi anajua strengh zake na weakness zake pia lakini hata ningekuwa mimi kwa Clouds,big NO.Tayari wako biased to the teeth.Wasalaam wana jamvi!
Leo Clouds kupitia Clouds 360 walikuwa wamemuandalia Freeman Mbowe mahojiano ambayo angepata wasaha wakutoa ufafanuzi wa mambo kadhaa yanayo muhusu yeye na chama chake!
Lakini chakushangaza Ndugu Mbowe ametafutwa bila mafanikio na hata walipo ulizwa viongozi wenzie walikosa la kujibu wakisema hawajui alipo!
Kinachoshangaza zaidi ni kwanini Mbowe sasa hivi ana vikimbia vyombo vya habari? Chadema huwa hawakimbii wana habari lakini safari hii Mbowe amekuwa wa kwanza kuvikimbia vyombo vya habari na kujificha kusiko julikana!
Hata hivyo kila mtu bado anajiuliza kwanini Mbowe ana vikimbia vyombo vya habari? Kuna nini ana kificha?
Clouds wamemtafuta sana lakini imeshindikana na inaonekana wazi Mh Mbowe ataki kabisa kuonana na wana habari!
Atwambie alitekwaje na Konyagi zakeClouds 360 kipindi pendwa cha MTU FURANI na Watangazaji wote wanakipendelea CHAMA FURANI unategemea MBOWE aende au afanye mahojiano ya kupoteza muda?
Nyie si mshasema kwamba alilewa chakari akadondoka? Bado mnataka aeleze nini?Atwambie alitekwaje na Konyagi zake
Ndicho anachoogopa
Mkuu kama hautojali tupe ya Startv mwanza nilipitwa.Rutta ndugu yangu wala hajajificha. Clouds baada ya kuzodolewa na kila mwenye akili timamu kwaupuuzi wanaoufanya wa kuwaalika baadhi ya viongozi wa mihimili na kuanza kuongelea mtu mmoja tu wameamua wajaribu kufuta dhambi kwa kusema wamemkosa Mbowe. Mbowe sio wa kukimbia vyombo vya habari hata mara nusu. Mbowe anaumwa na kama wanamtaka yuko tele na watampata tu waache siasa kwenye mambo ya wenye akili.
Lakini nakuapia Rutta.
" Wakiamua kumhoji Mbowe kuhusu siasa za Tanzania na Bunge ndani ya miaka mitano iliyoisha nakuapia kipindi hakitaisha"
Yatajirudia yale ya Star tv Mwanza.
Hahahaaaa..... Umenikumbusha Mtozi!Rutta ndugu yangu wala hajajificha. Clouds baada ya kuzodolewa na kila mwenye akili timamu kwaupuuzi wanaoufanya wa kuwaalika baadhi ya viongozi wa mihimili na kuanza kuongelea mtu mmoja tu wameamua wajaribu kufuta dhambi kwa kusema wamemkosa Mbowe. Mbowe sio wa kukimbia vyombo vya habari hata mara nusu. Mbowe anaumwa na kama wanamtaka yuko tele na watampata tu waache siasa kwenye mambo ya wenye akili.
Lakini nakuapia Rutta.
" Wakiamua kumhoji Mbowe kuhusu siasa za Tanzania na Bunge ndani ya miaka mitano iliyoisha nakuapia kipindi hakitaisha"
Yatajirudia yale ya Star tv Mwanza.
Aliitwa Kijana anaitwa Bambula (Sijui kama jina liko sahihi) ambaye ni mwenyekiti wa Taifa BAVICHA kwenye kipindi cha Ajenda 2020. Alialikwa na kijana wa CCM Magoiga S.N. Mada ilikuwa ni "Bunge la 11 Na mafanikio yake" Baada tu ya kipindi kuanza na kijana wa Chadema kusema ana nondo tano za kuonyesha Bunge lilikuwa kikao cha serikali badala ya kuwakilisha wananchi, alitaja hoja moja na nusu tu. Wakati akiendelea wakajifanya mitambo imemeza ulezi wakaweka tangazo na Aloyce Nyanda (Mtozi) aliyekuwa host wa kipindi alitokomea bila hata kuaga. Behind the scene wakasema alionywa haraka sana kutoka hewani na kumaliza kipindi kwa maelekezo toka juu. Je unapajua juu?Mkuu kama hautojali tupe ya Startv mwanza nilipitwa.
Nasikia gazeti lake limefutiwa usajili.Wasalaam wana jamvi!
Leo Clouds kupitia Clouds 360 walikuwa wamemuandalia Freeman Mbowe mahojiano ambayo angepata wasaha wakutoa ufafanuzi wa mambo kadhaa yanayo muhusu yeye na chama chake!
Lakini chakushangaza Ndugu Mbowe ametafutwa bila mafanikio na hata walipo ulizwa viongozi wenzie walikosa la kujibu wakisema hawajui alipo!
Kinachoshangaza zaidi ni kwanini Mbowe sasa hivi ana vikimbia vyombo vya habari? Chadema huwa hawakimbii wana habari lakini safari hii Mbowe amekuwa wa kwanza kuvikimbia vyombo vya habari na kujificha kusiko julikana!
Hata hivyo kila mtu bado anajiuliza kwanini Mbowe ana vikimbia vyombo vya habari? Kuna nini ana kificha?
Clouds wamemtafuta sana lakini imeshindikana na inaonekana wazi Mh Mbowe ataki kabisa kuonana na wana habari!
Baada ya kumchafua kule dodoma wameamua wamtafute kabisa wamemkosa leo kafutiwa usajili gazeti lakeClouds 360 kipindi pendwa cha MTU FURANI na Watangazaji wote wanakipendelea CHAMA FURANI unategemea MBOWE aende au afanye mahojiano ya kupoteza muda?
Atueleze akiwa rais ataitendea Nini konyagiNyie si mshasema kwamba alilewa chakari akadondoka? Bado mnataka aeleze nini?
Unafikiri yule Baby na yule mpare anayejiita Tanzanite wataweza kuhimili hoja za Mbowe akiamua kufafanua live bila chenga? Kwanza mada waliyomuitia tu wenyewe wanaogopa maana wanajua majibu hawataweza kuyarusha live. Walahi Jonii nakuapia hawatawezaHahahaaaa..... Umenikumbusha Mtozi!