Mromboo
JF-Expert Member
- Jan 25, 2012
- 3,073
- 6,909
Wala sio pole zake. Pole zetu wooteNasikia gazeti lake limefutiwa usajili.
Pole zake
Tujiandae kusikiliza mapambio tu. Siku ukipata akili utakuja kutafuta hii comment.

Ok sawa.Wala sio pole zake. Pole zetu woote
Tujiandae kusikiliza mapambio tu. Siku ukipata akili utakuja kutafuta hii comment.
Yule Ngoma hachelewagi kutokwa povu!Unafikiri yule Baby na yule mpare anayejiita Tanzanite wataweza kuhimili hoja za Mbowe akiamua kufafanua live bila chenga? Kwanza mada waliyomuitia tu wenyewe wanaogopa maana wanajua majibu hawataweza kuyarusha live. Walahi Jonii nakuapia hawataweza
Hata mkwara wa video comference hakuna?Mbowe hana jipya.maana mpaka sasa yeye na chama chake wamepoteana.
Sijui ila yule kijana ni dhaifu sana kwenye uvumilivu.Yule Ngoma hachelewagi kutokwa povu!
Kijana mdogo alianza kushusha sababu za bunge la 11 kuwa goigoi.Alianza na sababu mbili tu kipindi kikafutwa.Mkuu kama hautojali tupe ya Startv mwanza nilipitwa.
minakwambia wamepoteana.kila mtu anatoa tamko la chama.kila siku,kila media.Hata mkwara wa video comference hakuna?
Mzee wa k-vantWasalaam wana jamvi!
Leo Clouds kupitia Clouds 360 walikuwa wamemuandalia Freeman Mbowe mahojiano ambayo angepata wasaha wakutoa ufafanuzi wa mambo kadhaa yanayo muhusu yeye na chama chake!
Lakini chakushangaza Ndugu Mbowe ametafutwa bila mafanikio na hata walipo ulizwa viongozi wenzie walikosa la kujibu wakisema hawajui alipo!
Kinachoshangaza zaidi ni kwanini Mbowe sasa hivi ana vikimbia vyombo vya habari? Chadema huwa hawakimbii wana habari lakini safari hii Mbowe amekuwa wa kwanza kuvikimbia vyombo vya habari na kujificha kusiko julikana!
Hata hivyo kila mtu bado anajiuliza kwanini Mbowe ana vikimbia vyombo vya habari? Kuna nini ana kificha?
Clouds wamemtafuta sana lakini imeshindikana na inaonekana wazi Mh Mbowe ataki kabisa kuonana na wana habari!
Hawezi kuongea na waramba miguu wa CCM. Mbowe anaongea na media zinazojitambuaWasalaam wana jamvi!
Leo Clouds kupitia Clouds 360 walikuwa wamemuandalia Freeman Mbowe mahojiano ambayo angepata wasaha wakutoa ufafanuzi wa mambo kadhaa yanayo muhusu yeye na chama chake!
Lakini chakushangaza Ndugu Mbowe ametafutwa bila mafanikio na hata walipo ulizwa viongozi wenzie walikosa la kujibu wakisema hawajui alipo!
Kinachoshangaza zaidi ni kwanini Mbowe sasa hivi ana vikimbia vyombo vya habari? Chadema huwa hawakimbii wana habari lakini safari hii Mbowe amekuwa wa kwanza kuvikimbia vyombo vya habari na kujificha kusiko julikana!
Hata hivyo kila mtu bado anajiuliza kwanini Mbowe ana vikimbia vyombo vya habari? Kuna nini ana kificha?
Clouds wamemtafuta sana lakini imeshindikana na inaonekana wazi Mh Mbowe ataki kabisa kuonana na wana habari!
Mbowe ameogopa maswali magumu