mheshimiwamtemi
JF-Expert Member
- Oct 27, 2014
- 291
- 226
Huyo Ngoma mnafki sana
Walitaka aende studio na Magongo?Wasalaam wana jamvi!
Leo Clouds kupitia Clouds 360 walikuwa wamemuandalia Freeman Mbowe mahojiano ambayo angepata wasaha wakutoa ufafanuzi wa mambo kadhaa yanayo muhusu yeye na chama chake!
Lakini chakushangaza Ndugu Mbowe ametafutwa bila mafanikio na hata walipo ulizwa viongozi wenzie walikosa la kujibu wakisema hawajui alipo!
Kinachoshangaza zaidi ni kwanini Mbowe sasa hivi ana vikimbia vyombo vya habari? Chadema huwa hawakimbii wana habari lakini safari hii Mbowe amekuwa wa kwanza kuvikimbia vyombo vya habari na kujificha kusiko julikana!
Hata hivyo kila mtu bado anajiuliza kwanini Mbowe ana vikimbia vyombo vya habari? Kuna nini ana kificha?
Clouds wamemtafuta sana lakini imeshindikana na inaonekana wazi Mh Mbowe ataki kabisa kuonana na wana habari!
Siungi mkono mbowe kuhojiwa na waandishi duni wa clouds mediaSijawahi kumuona Mbowe kwenye mahojiano yoyote, au mdahalo wowote. Huu ni udhaifu mkubwa kwa kiongozi wa umma. Na sio Mbowe tu, hata Magufuli sijawahi kumuona katika mdahalo wowote, na hapendi kuhojiwa. Ukiona kiongozi yoyote hataki midahalo ujue huyo ni tatizo.
Mbowe anayehojiwa kila uchao na BBC aogope maswali duni kutoka clouds ?Mbowe ameogopa maswali magumu
Siungi mkono mbowe kuhojiwa na waandishi duni wa clouds media
Is this a topic to get it here? Stupid!Wasalaam wana jamvi!
Leo Clouds kupitia Clouds 360 walikuwa wamemuandalia Freeman Mbowe mahojiano ambayo angepata wasaha wakutoa ufafanuzi wa mambo kadhaa yanayo muhusu yeye na chama chake!
Lakini chakushangaza Ndugu Mbowe ametafutwa bila mafanikio na hata walipo ulizwa viongozi wenzie walikosa la kujibu wakisema hawajui alipo!
Kinachoshangaza zaidi ni kwanini Mbowe sasa hivi ana vikimbia vyombo vya habari? Chadema huwa hawakimbii wana habari lakini safari hii Mbowe amekuwa wa kwanza kuvikimbia vyombo vya habari na kujificha kusiko julikana!
Hata hivyo kila mtu bado anajiuliza kwanini Mbowe ana vikimbia vyombo vya habari? Kuna nini ana kificha?
Clouds wamemtafuta sana lakini imeshindikana na inaonekana wazi Mh Mbowe ataki kabisa kuonana na wana habari!
Clouds wako kishoga sanaCLOUDS 360 YAMSAKA MBOWE
.
Kwa mujibu wa Mtangazaji @hassanngoma360 amesema wamefanya jitihada za kumpata Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe ili wazungumze naye kuhusu mambo mbalimbali ikiwepo miaka mitano katika maisha ya kisiasa hapa nchini. .
.
" Tumezungumza na Mh. Spika, Job Ndugai wiki iliyopita, tumeona ni vyema sasa kuzungumza na Mh. Mbowe tupo tayari kumfuata popote alipo hata Hai "
.
" Tumepambana sana kumtafuta kupitia viongozi wa chama ili tufanye naye mahojiano lakini hatujafanikiwa "
Mbona mkiwatafuta Wakubwa wengine tena Waandamizi kabisa kutoka CCM wakiwakatalia au kuwakwepa huwa hamuwatangazi?
Tatizo shule kaka, ataongea nini?
Na wewe mwaka wa ngapi huu Chakubanga anakutafuna jicho?Kuendelea kuliwa kitumbua na mlewa konyagi kwa miaka mingine mitano yataka moyo.
Ndiyo maana hawataki.
BatamzingaHuyo Ngoma mnafki sana
Wanafaki hao 360!CLOUDS 360 YAMSAKA MBOWE
.
Kwa mujibu wa Mtangazaji @hassanngoma360 amesema wamefanya jitihada za kumpata Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe ili wazungumze naye kuhusu mambo mbalimbali ikiwepo miaka mitano katika maisha ya kisiasa hapa nchini. .
.
" Tumezungumza na Mh. Spika, Job Ndugai wiki iliyopita, tumeona ni vyema sasa kuzungumza na Mh. Mbowe tupo tayari kumfuata popote alipo hata Hai "
.
" Tumepambana sana kumtafuta kupitia viongozi wa chama ili tufanye naye mahojiano lakini hatujafanikiwa "
Mbona mkiwatafuta Wakubwa wengine tena Waandamizi kabisa kutoka CCM wakiwakatalia au kuwakwepa huwa hamuwatangazi?
Mlewa konyagi ni mamako na kopo lake mapajani au hujui.Kuendelea kuliwa kitumbua na mlewa konyagi kwa miaka mingine mitano yataka moyo.
Ndiyo maana hawataki.
Mbowe kahojiwa na BBC ndiyo aogope hao machoko wa clouds,Mbowe ameogopa maswali magumu
Sijawahi kumuona Mbowe kwenye mahojiano yoyote, au mdahalo wowote. Huu ni udhaifu mkubwa kwa kiongozi wa umma. Na sio Mbowe tu, hata Magufuli sijawahi kumuona katika mdahalo wowote, na hapendi kuhojiwa. Ukiona kiongozi yoyote hataki midahalo ujue huyo ni tatizo.
Mbowe nae ana roho,mlitaka ajibu swali la mintego ili asweke gerezani?Rutta ndugu yangu wala hajajificha. Clouds baada ya kuzodolewa na kila mwenye akili timamu kwaupuuzi wanaoufanya wa kuwaalika baadhi ya viongozi wa mihimili na kuanza kuongelea mtu mmoja tu wameamua wajaribu kufuta dhambi kwa kusema wamemkosa Mbowe. Mbowe sio wa kukimbia vyombo vya habari hata mara nusu. Mbowe anaumwa na kama wanamtaka yuko tele na watampata tu waache siasa kwenye mambo ya wenye akili.
Lakini nakuapia Rutta.
" Wakiamua kumhoji Mbowe kuhusu siasa za Tanzania na Bunge ndani ya miaka mitano iliyoisha nakuapia kipindi hakitaisha"
Yatajirudia yale ya Star tv Mwanza.
2005 alishiriki sana midahalo
Vyombo vyote vya habari Tanzania vinaogopa kuwahoji wapinzani kwa kuhofia kutekwa waandishi wake , juzi StarTv ilizimwa hewani baada ya nondo za John Pambalu kuizidi kimo serikaliAnaweza asihojiwe na clouds hayo ni maamuzi yake, lakini sijawahi kumuona kwenye mdahalo wowote. Mimi binafsi siamini kiongozi wa umma asiyeshiriki kwenye midahalo. Cdm ninayoijua mimi haikuwa na utamaduni wa kukwepa midahalo, tabia hii nilianza kuiona kwa lowassa uchaguzi uliopita. Hilo roho lisikaribishwe ndani ya cdm, kama kweli viongozi wetu wana uwezo.