Ulongupanjala
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 8,522
- 14,005
Hao Clouds Media ni tawi la CCM kama walivyo gazeti la Uhuru,Tanzanite nk
Mbona hawahoji kuhusu kutolewa fomu moja ya urais?
Mbona hawahoji kuhusu kutolewa fomu moja ya urais?
Unaweza kututhibitishia ni lini huyu msukuma mwenzetu wa Magogoni na asiyejua kuongea kiingereza amewahi kushiriki mdahalo hata ulioandaliwa na TBC?Anaweza asihojiwe na clouds hayo ni maamuzi yake, lakini sijawahi kumuona kwenye mdahalo wowote. Mimi binafsi siamini kiongozi wa umma asiyeshiriki kwenye midahalo. Cdm ninayoijua mimi haikuwa na utamaduni wa kukwepa midahalo, tabia hii nilianza kuiona kwa lowassa uchaguzi uliopita. Hilo roho lisikaribishwe ndani ya cdm, kama kweli viongozi wetu wana uwezo.
Watanzania wengi ulifanya tafiti? Mimi nina Watanzania 137 wanaonitegemea,sijawahi kuona wala kusikia wakisikiliza hicho kituo cha radio,zaidi ya Efm,EA Radio na Radio One. Ushahidi ninao.[emoji23] [emoji23] [emoji23] Acheni kujitetea, clouds inasikilizwa na watanzania wengi sana ambao ndio hao mnaotarajia kwenda kuwaomba kura!
Sasa kwanini anaitwa kwenye kipindi anakataa?
Jibu ni kwamba anaogopa kuulizwa kilichotokea dodoma.
Aibu sana hii!
Sent from my SM-T585 using JamiiForums mobile app
Aisee.. Hili nalo tuanze kubishana?Watanzania wengi ulifanya tafiti? Mimi nina Watanzania 137 wanaonitegemea,sijawahi kuona wala kusikia wakisikiliza hicho kituo cha radio,zaidi ya Efm,EA Radio na Radio One. Ushahidi ninao.
Kwahiyo kumbe mchaga Mbowe hana tofauti na huyo msukuma? Basi tuendelee na msukumaUnaweza kututhibitishia ni lini huyu msukuma mwenzetu wa Magogoni na asiyejua kuongea kiingereza amewahi kushiriki mdahalo hata ulioandaliwa na TBC?
Mkuu naona una hasira Sana. N.B 😛oleMaswali ya hao viherehere, waambie wajichunguze nyendo zao.
Unaongopa Rais Magufuli aliongea na Waandishi wa Habari mwanzo kabisa wa utawala wake hadi Pascal Mayalla akamuuliza swali. Acha uongo mkuu!
Sasa mbona ulikuwa unawadanganya wanasaccos wenzio kuwa hajawahi kuongea na waandishi wa habari?? Kawadanganye wanasaccos wenzio huko Ufipa dada!!Bora hata ungekaa kimya, siku ile alikuwa hajibu maswali, bali alikuwa anaanika kiburi cha madaraka. Siku ile wala alikuwa hajibu anachoulizwa, bali alikuwa anaongea anachotaka.
Mpumbavu kabisa weweWasalaam wana jamvi!
Leo Clouds kupitia Clouds 360 walikuwa wamemuandalia Freeman Mbowe mahojiano ambayo angepata wasaha wakutoa ufafanuzi wa mambo kadhaa yanayo muhusu yeye na chama chake!
Lakini chakushangaza Ndugu Mbowe ametafutwa bila mafanikio na hata walipo ulizwa viongozi wenzie walikosa la kujibu wakisema hawajui alipo!
Kinachoshangaza zaidi ni kwanini Mbowe sasa hivi ana vikimbia vyombo vya habari? Chadema huwa hawakimbii wana habari lakini safari hii Mbowe amekuwa wa kwanza kuvikimbia vyombo vya habari na kujificha kusiko julikana!
Hata hivyo kila mtu bado anajiuliza kwanini Mbowe ana vikimbia vyombo vya habari? Kuna nini ana kificha?
Clouds wamemtafuta sana lakini imeshindikana na inaonekana wazi Mh Mbowe ataki kabisa kuonana na wana habari!
shitClouds 360 kipindi pendwa cha MTU FURANI na Watangazaji wote wanakipendelea CHAMA FURANI unategemea MBOWE aende au afanye mahojiano ya kupoteza muda?
Sasa mbona ulikuwa unawadanganya wanasaccos wenzio kuwa hajawahi kuongea na waandishi wa habari?? Kawadanganye wanasaccos wenzio huko Ufipa dada!!
DOUGLAS SALLU UMEUUA BEND 🤩🤩🤩👊👊Mbowe kahojiwa na BBC ndiyo aogope hao machoko wa clouds,
CLOUDS 360 YAMSAKA MBOWE
.
Kwa mujibu wa Mtangazaji @hassanngoma360 amesema wamefanya jitihada za kumpata Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe ili wazungumze naye kuhusu mambo mbalimbali ikiwepo miaka mitano katika maisha ya kisiasa hapa nchini. .
.
" Tumezungumza na Mh. Spika, Job Ndugai wiki iliyopita, tumeona ni vyema sasa kuzungumza na Mh. Mbowe tupo tayari kumfuata popote alipo hata Hai "
.
" Tumepambana sana kumtafuta kupitia viongozi wa chama ili tufanye naye mahojiano lakini hatujafanikiwa "
Mbona mkiwatafuta Wakubwa wengine tena Waandamizi kabisa kutoka CCM wakiwakatalia au kuwakwepa huwa hamuwatangazi?
Mbowe ameogopa maswali magumu
Tatizo shule kaka, ataongea nini?
Kaingia mitini
Kuna mpango wa kuwasweka ndani viongozi wa CDM wakati huu kabla kampeni hazijaanza ili wasiweze kufanya kampeni. Tayari magazeti kadhaa yamefungiwa ikiwa ni pamoja na Mwanahalisi na Mtanzania Daima kwa lengo la kuua nguvu za upinzani.Kaogopa labda watamuuliza ishu ya ulevi wa kupitiliza