Mzukulu
JF-Expert Member
- Feb 14, 2020
- 1,401
- 2,643
huko ni kuwanyima wananchi fursa ya kupata habari.
Umeambiwa kuwa hao Wananchi wako huwa wanatizama mno Cloudstv 360 yako? Hivi Wananchi wengi Kitakwimu wanatizama Cloudstv au TBC?
huko ni kuwanyima wananchi fursa ya kupata habari.
Kila chombo cha habari kina wateja wake ambao wanamitizamo mbali mbali Mbowe kukataa mahojiano na Clouds amewanyima hata wanachama wake wapenzi wa clouds kupata habariUmeambiwa kuwa hao Wananchi wako huwa wanatizama mno Cloudstv 360 yako? Hivi Wananchi wengi Kitakwimu wanatizama Cloudstv au TBC?
Hatutaki ahojiwe na wanafki...kwn lazima??Kila chombo cha habari kina wateja wake ambao wanamitizamo mbali mbali Mbowe kukataa mahojiano na Clouds amewanyima hata wanachama wake wapenzi wa clouds kupata habari
Kila chombo cha habari kina wateja wake ambao wanamitizamo mbali mbali Mbowe kukataa mahojiano na Clouds amewanyima hata wanachama wake wapenzi wa clouds kupata habari
Chunga adabu yako wewe, anaeteseka niyeye sio wananchi (mimi nikiwemo). Kwaiyo mwache apambane na hali yake. Usituingize sisiCLOUDS 360 YAMSAKA MBOWE
.
Kwa mujibu wa Mtangazaji @hassanngoma360 amesema wamefanya jitihada za kumpata Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe ili wazungumze naye kuhusu mambo mbalimbali ikiwepo miaka mitano katika maisha ya kisiasa hapa nchini. .
.
" Tumezungumza na Mh. Spika, Job Ndugai wiki iliyopita, tumeona ni vyema sasa kuzungumza na Mh. Mbowe tupo tayari kumfuata popote alipo hata Hai "
.
" Tumepambana sana kumtafuta kupitia viongozi wa chama ili tufanye naye mahojiano lakini hatujafanikiwa "
Mbona mkiwatafuta Wakubwa wengine tena Waandamizi kabisa kutoka CCM wakiwakatalia au kuwakwepa huwa hamuwatangazi?
Sio kishoga ni mashoga wale media ya kujikomba.Clouds wako kishoga sana
Sasa kumbe Majibu mazuri unayo na ulikuwa nayo ilikuwaje ukawa unamuona Mheshimiwa Mbowe anaogopa Kuhojiwa na Wapuuzi hao wa CMG?
Anaweza asihojiwe na clouds hayo ni maamuzi yake, lakini sijawahi kumuona kwenye mdahalo wowote. Mimi binafsi siamini kiongozi wa umma asiyeshiriki kwenye midahalo. Cdm ninayoijua mimi haikuwa na utamaduni wa kukwepa midahalo, tabia hii nilianza kuiona kwa lowassa uchaguzi uliopita. Hilo roho lisikaribishwe ndani ya cdm, kama kweli viongozi wetu wana uwezo.
Wewe hata ufanyeje huko CCM hawawezi kukupa kazi kwa rekodi yako ya wizi ulipokuwa Chadema. Jikite tu kwenye biashara yako ya mama lishe na bar bubuMtia nia wa Urais serious hawezi kuacha mahojiano na chombo chochote cha habari labda kama kuna uongo ndani yake
Swadaktaa!!!!!!!!Clouds media is a junk of waste.. Level yao ni akina amber ruty
Hassan Ngoma Yule level yake ni Nabii TitoMbowe K-vant hana uwezo wa kujibu maswali ya weredi ya Hassan ngoma.
Mbona alikubali kuhojiwa na BBC? Clouds wako hostile na wangemuuliza maswali ya kijinga ndiyo maana amewapotezea. Kama wana weledi kweli wangekwenda kuhoji habari za Mbowe kwenye kijiwe cha bodaboada huo si ndiyo ushoga wenyewe tunaosema?Tatizo mnapenda kusikia mnachokitaka nyinyi, hivi nyie mkipewa dola si ni hatari sana!? mwandishi wa habari anatimiza wajibu wake, Mbowe ajitokeze asikimbie waandishi wa habari, wameshahoji upande mmoja hivyo ili kubalance story lazima na Mbowe ahojiwe ili asilalamike kutokutendewa haki.
Mara ya mwisho nilini Nchi hii imekuwa na mrahaloAnaweza asihojiwe na clouds hayo ni maamuzi yake, lakini sijawahi kumuona kwenye mdahalo wowote. Mimi binafsi siamini kiongozi wa umma asiyeshiriki kwenye midahalo. Cdm ninayoijua mimi haikuwa na utamaduni wa kukwepa midahalo, tabia hii nilianza kuiona kwa lowassa uchaguzi uliopita. Hilo roho lisikaribishwe ndani ya cdm, kama kweli viongozi wetu wana uwezo.
Ukiona hivyo ujue tayari maana kinywa cha mtu husema yaujazayo moyo wake. Si unajua huko Lumumba kina Nabii Tito wako wengi tu.Sema tu kuwa unamfahamu kwani ukisema unamjua kwa Waswahili wa Pwani na tuliozaliwa na Kubobea Pwani tunaelewa kuwa ameshakupakua.
Mara ya mwisho nilini Nchi hii imekuwa na mrahalo
Acha mambo ya kuitana kaka ,jadili hoja.Mbowe ashindwe kuongea na vilaza hao wa clouds fm! Mbowe anaongea na wakubwa wa dunia hii sembuse wenzio hao vilaza wa mawingu fmTatizo shule kaka, ataongea nini?
Haaa Douslas Sallu you make funyDOUGLAS SALLU UMEUUA BEND 🤩🤩🤩👊👊
Halafu Mbowe lugha ya kidhungu anaielewa, ambaye FULANI slanglessAcha mambo ya kuitana kaka ,jadili hoja.Mbowe ashindwe kuongea na vilaza hao wa clouds fm! Mbowe anaongea na wakubwa wa dunia hii sembuse wenzio hao vilaza wa mawingu fm
Mbowe K-vant kakimbiaHassan Ngoma Yule level yake ni Nabii Tito