Mbowe awakimbia wana habari: Clouds TV wamtafuta bila mafanikio, asemekana kujificha!

Mbowe awakimbia wana habari: Clouds TV wamtafuta bila mafanikio, asemekana kujificha!

Amsake Lijualikali kama kashamalizana na baba mkwe wake!! Hawa wana Info zote anazozitaka!!
 
CLOUDS 360 YAMSAKA MBOWE
.
Kwa mujibu wa Mtangazaji @hassanngoma360 amesema wamefanya jitihada za kumpata Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe ili wazungumze naye kuhusu mambo mbalimbali ikiwepo miaka mitano katika maisha ya kisiasa hapa nchini. .
.
" Tumezungumza na Mh. Spika, Job Ndugai wiki iliyopita, tumeona ni vyema sasa kuzungumza na Mh. Mbowe tupo tayari kumfuata popote alipo hata Hai "
.
" Tumepambana sana kumtafuta kupitia viongozi wa chama ili tufanye naye mahojiano lakini hatujafanikiwa "

Mbona mkiwatafuta Wakubwa wengine tena Waandamizi kabisa kutoka CCM wakiwakatalia au kuwakwepa huwa hamuwatangazi?
Mtia nia wa Urais serious hawezi kuacha mahojiano na chombo chochote cha habari labda kama kuna uongo ndani yake
 
Vyombo vyote vya habari Tanzania vinaogopa kuwahoji wapinzani kwa kuhofia kutekwa waandishi wake , juzi StarTv ilizimwa hewani baada ya nondo za John Pambalu kuizidi kimo serikali

Hili ni kweli, na hata wakiwahoji wapinzani wanawawekea mazingira ya kutokufunguka watakavyo.
 
Rutta ndugu yangu wala hajajificha. Clouds baada ya kuzodolewa na kila mwenye akili timamu kwaupuuzi wanaoufanya wa kuwaalika baadhi ya viongozi wa mihimili na kuanza kuongelea mtu mmoja tu wameamua wajaribu kufuta dhambi kwa kusema wamemkosa Mbowe. Mbowe sio wa kukimbia vyombo vya habari hata mara nusu. Mbowe anaumwa na kama wanamtaka yuko tele na watampata tu waache siasa kwenye mambo ya wenye akili.
Lakini nakuapia Rutta.
" Wakiamua kumhoji Mbowe kuhusu siasa za Tanzania na Bunge ndani ya miaka mitano iliyoisha nakuapia kipindi hakitaisha"
Yatajirudia yale ya Star tv Mwanza.
Asante.
 
Huo unao fikiria ni upungufu wa akili. Mbowe ameenza kunywa pombe kabla baba yako hajaoa. Na haku wahi kuyumba.. Tupe ushahidi wa huo upuuzi wako ulio andika hapa.
Namjua vizuri mbowe kuliko wewe unae mkariri Ni kweli hajaanza pombe Leo toka Ila hakuwa mlevi wa kupitiliza Kama alivyo Sasa,kwa Sasa sio mnywaji tu Ni chapombe
 
CLOUDS 360 YAMSAKA MBOWE
.
Kwa mujibu wa Mtangazaji @hassanngoma360 amesema wamefanya jitihada za kumpata Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe ili wazungumze naye kuhusu mambo mbalimbali ikiwepo miaka mitano katika maisha ya kisiasa hapa nchini. .
.
" Tumezungumza na Mh. Spika, Job Ndugai wiki iliyopita, tumeona ni vyema sasa kuzungumza na Mh. Mbowe tupo tayari kumfuata popote alipo hata Hai "
.
" Tumepambana sana kumtafuta kupitia viongozi wa chama ili tufanye naye mahojiano lakini hatujafanikiwa "

Mbona mkiwatafuta Wakubwa wengine tena Waandamizi kabisa kutoka CCM wakiwakatalia au kuwakwepa huwa hamuwatangazi?
K-VANT...
 
Hivi vijamaa vya 360 hamna kitu humo....Mh. Mbowe akiitishaga press wala havifanyi coverage yeyote... viogaa kisa ugali.
 
Clouds media is a junk of waste.. Level yao ni akina amber ruty
[emoji23] [emoji23] [emoji23] Acheni kujitetea, clouds inasikilizwa na watanzania wengi sana ambao ndio hao mnaotarajia kwenda kuwaomba kura!
Sasa kwanini anaitwa kwenye kipindi anakataa?

Jibu ni kwamba anaogopa kuulizwa kilichotokea dodoma.
Aibu sana hii!

Sent from my SM-T585 using JamiiForums mobile app
 
Namjua vizuri mbowe kuliko wewe unae mkariri Ni kweli hajaanza pombe Leo toka Ila hakuwa mlevi wa kupitiliza Kama alivyo Sasa,kwa Sasa sio mnywaji tu Ni chapombe
Tuwekee proof Mangi. Ila kwa tasrifa namjua zaidi ya umjuavyo
 
Sijawahi kumuona Mbowe kwenye mahojiano yoyote, au mdahalo wowote. Huu ni udhaifu mkubwa kwa kiongozi wa umma. Na sio Mbowe tu, hata Magufuli sijawahi kumuona katika mdahalo wowote, na hapendi kuhojiwa. Ukiona kiongozi yoyote hataki midahalo ujue huyo ni tatizo.
Unaongopa Rais Magufuli aliongea na Waandishi wa Habari mwanzo kabisa wa utawala wake hadi Pascal Mayalla akamuuliza swali. Acha uongo mkuu!
 
Back
Top Bottom