Munch wa annabelletz47
JF-Expert Member
- Aug 13, 2019
- 1,885
- 3,227
Mimi ni muumini wa kutokukata tamaa, ni muumini mzuri pia wa kupambania ninachokiamini kwa gharama yoyote, na ndicho Yanga mlichokionyesha jana.
Asanteni kwa hili, pongezi za dhati kwa kuweka alama kwenye mashindano ya kimataifa ya CAFCC, sina shaka wakati ujao tutalibeba kabisa kombe.
Pongezi za dhati kwa wachezaji, benchi la ufundi, uongozi wa klabu na mashabiki kwa kujitoa kwenu kwa hali na mali.
Mmeliheshimisha Taifa.
Mh. Freeman Mbowe