Mbowe awapongeza yanga, asema makolo mjifunze kwetu

Mbowe awapongeza yanga, asema makolo mjifunze kwetu

Munch wa annabelletz47

JF-Expert Member
Joined
Aug 13, 2019
Posts
1,885
Reaction score
3,227
Mimi ni muumini wa kutokukata tamaa, ni muumini mzuri pia wa kupambania ninachokiamini kwa gharama yoyote, na ndicho Yanga mlichokionyesha jana.

Asanteni kwa hili, pongezi za dhati kwa kuweka alama kwenye mashindano ya kimataifa ya CAFCC, sina shaka wakati ujao tutalibeba kabisa kombe.

Pongezi za dhati kwa wachezaji, benchi la ufundi, uongozi wa klabu na mashabiki kwa kujitoa kwenu kwa hali na mali.

Mmeliheshimisha Taifa.
1685874330857.png


Mh. Freeman Mbowe
 
YANGA imegongwa na timu inashika nafasi ya Tisa kwenye League Yao
 
Nimetafuta aliposema Makolo Mjifunze sijaona.

Isije kuwa unamlisha maneno 😜

Ila hongereni sana kwa hatua mliyofika 👏👏👏👏
 
Mwanaume akipigwa hajigambi kuwa kapigwa kwa mbinde Ana kausha tu.
 
Back
Top Bottom