Kaa la Moto
JF-Expert Member
- Apr 24, 2008
- 7,904
- 1,064
Kwenye hoja za huyu dingi nilijua lazima utokee. Na kila hoja zenye jina la Malecela lazima utokee kwa jaziba kali kama kawa. Ahahahahahahaha wamegusa penyewe mzee wa dataz- Freeman anaweza kuongelea usultani baada ya yeye mwenyewe na mkwe wake kumtia kitanzi Zitto, alipotaka Demokrasia anayoililia kutoka CCM ni maajabu ya Musa, kweli ukishangaa ya musa utaona ya firauni, yeye Demokrasia ameikataa kutoka kwa Wangwe lakini leo ana ubavu wa kulaumu CCM hili taifa na unafiki sijui ni nani ametuloga!
- Halafu vipi Ndesamburo na Dr. Slaa kwani hawa ni American Idol? Freeman alizaliwa na hawa?
Respect.
FMEs!
Tatizo FMES huwa unaongea maneno meeengi yakuchusha yasiyo na substantial ndani yake kuandika full page si kwamba una piont sana jaribu kuwa concise tutakuelewa
ushauri wa bure kama kweli unampenda Mzee Malecela "kamwambie aachane na siasa wakati bado watu wanampenda kama si kumchekea siasa za Tanzania zinabadilika hazina muamana enzi za kubebana zinaelekea ukingoni kuna siku ataondoka kwa aibu" mwisho wa kujinukuru.
Kwenye hoja za huyu dingi nilijua lazima utokee. Na kila hoja zenye jina la Malecela lazima utokee kwa jaziba kali kama kawa. Ahahahahahahaha wamegusa penyewe mzee wa dataz
Tanzania ni inchi ambayo haiwezi kuendelea maana hata wengi hawajui wanahitaji nini. Mwanamziki mmmoja alisema wabaya tunaishi nao na tunatembea nao. Hicho ndicho ninachoweza kuona hapa.
Ukiangalia Mkoa wa Dodoma ni kati ya mikoa iliyo nyuma kimaendeleo kuliko karibia mikoa yote Tanzania.
Barabara hakuna(wakati ni makao makuu ya chama eti na Serikali), wananchi ombaomba wengi wanatoka mkoa huu nk. Haya bwana tuendelee. Imefikia wakati tusitafute visingizio kama mtu hawezi ku-deliver lazima aambiwe bila woga.
Chitalilo,Mussa Hasan Zungu, Idd Azzani, Hawa Ghasia, hawa ni mifano ya Wabunge Vimeo ambao hawajafanya lolote hata kuwapa faraja wapiga kura wao....- Mkuu point taken, ila ni vyema ungawataja wabunge walio-deliver kwanza kabla ya kushukia wasio-deliver, kama Malecela can you do that mkuu?
Es!
Kwenye hoja za huyu dingi nilijua lazima utokee. Na kila hoja zenye jina la Malecela lazima utokee kwa jaziba kali kama kawa. Ahahahahahahaha wamegusa penyewe mzee wa dataz
ila bado Mbowe anahaki yakuwafumbua Machoo wapiga kura KULE Mtera kua Matumaini anayowalisha mzee Malecela hayawapi shibe wala maendeleo.#Kaka umesema kweli kabisa, siyo rahisi kuficha kipenda roho,
Ila hoja yake ya kuwa Mbowe hafai kueleza haya kwa sababu yeye mwenyewe alimnyima Zito kugombea uenyekiti unaizungumziaje? unataka kuikwepa simply kwa sababu anampenda Malecela? au hauna jibu?. Tofauti ya Malecela na Mbowe ni nini?
I believe politics is how you can keep yourself spotless na kila kitu kina credit sana wakati wa kura. Honestly Mbowe hafai kueleza hili, karusha jiwe amesahau kuwa yuko jumba la vioo!
Ile dhambi ya Mbowe walichomfanyia Zito haitasahaulika, itaandikiwa vitabu na kufanyiwa researach, na mpaka leo hakuna maelezo ya kina yaliyotolewa!
Ha ha ha aaaaa hizo ni siasa mzee kwa tulio nje tutabaki na tunayoyaona magazetini kwa walio ndani wanajua wanachokifanya ha ha ha aaaaaaaa.Ile dhambi ya Mbowe walichomfanyia Zito haitasahaulika, itaandikiwa vitabu na kufanyiwa researach, na mpaka leo hakuna maelezo ya kina yaliyotolewa!
Naomba nikujibu namba 1 na 4 japo kwa kifupi
1.Ndiyo ni ubaguzi...Kwani ni wapi katiba inasema wazee wasigombee?
4.Kwa nini Malecela anabaguliwa na Mbowe?,kwani yeye katiba ya nchi haimruhusu kuchaguliwa kuwa kiongozi?