Kaka umesema kweli kabisa, siyo rahisi kuficha kipenda roho,
Ila hoja yake ya kuwa Mbowe hafai kueleza haya kwa sababu yeye mwenyewe alimnyima Zito kugombea uenyekiti unaizungumziaje? unataka kuikwepa simply kwa sababu anampenda Malecela? au hauna jibu?. Tofauti ya Malecela na Mbowe ni nini?
I believe politics is how you can keep yourself spotless na kila kitu kina credit sana wakati wa kura. Honestly Mbowe hafai kueleza hili, karusha jiwe amesahau kuwa yuko jumba la vioo!
Ile dhambi ya Mbowe walichomfanyia Zito haitasahaulika, itaandikiwa vitabu na kufanyiwa researach, na mpaka leo hakuna maelezo ya kina yaliyotolewa!