johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 104,319
- 183,639
- Thread starter
- #21
Bilionea anategemea ruzuku ya Chadema?Usiseme Mfanyabiashara maarufu tu , sema MFANYABIASHARA MAARUFU NA BILIONEA .
Bilionea anategemea ruzuku ya Chadema?Usiseme Mfanyabiashara maarufu tu , sema MFANYABIASHARA MAARUFU NA BILIONEA .
Aliekuambia kuwa CCcM hutegemea kura kuchukua dola ni nani? Unaishi Tazania kweli?!Huyu mbwiga Iringa atachaguliwa na nani?!!
Kama yupi mkuu?
Bilionea anategemea ruzuku ya Chadema?
Mpelekeni huyo mbwiga Iringa mkaone " wanaume " wa miyomboni watakavyomgombania kama mpira wa kona.Aliekuambia kuwa CCcM hutegemea kura kuchukua dola ni nani? Unaishi Tazania kweli?!
Nyie Mnategemea Nini ?Bilionea anategemea ruzuku ya Chadema?
Hizo nchi zingine Viongozi wao hawana mambo ya ovyoovyo kama ya wa hapa kwenuTatizo siku hizi hawana adabu. Wakienda nje wanaenda kudanga kisiasa. Wanatumia vibaya passport. Uliona wapi wanasiasa wa nchi nyingine wakifanya haya mambo ya aibu?
Duh! Bora ukae kimya tuHizo nchi zingine Viongozi wao hawana mambo ya ovyoovyo kama ya wa hapa kwenu
Thubutu!
Mwenyekiti wa CHADEMA ambaye pia ni mfanyabiashara maarufu mh Freeman Mbowe amezuiliwa na mahakama ya kisutu kwenda nchini Marekani, Uingereza na Uswisi kwenye shughuli zake za kibiashara.
Mkurugenzi wa uchaguzi CHADEMA John Mrema amesema Mbowe ambaye ni mbunge wa Hai amepewa ruhusa ya kusafiri na Spika wa bunge mh Ndugai lakini hakimu Simba na mawakili wa serikali wamemzuia kusafiri.
Mrema amesema Zuio hilo la hakimu Simba ni kinyume kabisa na hukumu ya mahakama kuu kuhusu masharti ya dhamana na ni ukandamizwaji wa maksudi wa haki za binadamu.
Source Ayo tv
Maendeleo hayana vyama!
Tatizo siku hizi hawana adabu. Wakienda nje wanaenda kudanga kisiasa. Wanatumia vibaya passport. Uliona wapi wanasiasa wa nchi nyingine wakifanya haya mambo ya aibu?
Spika ni mkubwa kuliko Jaji mkuu bwashee!Chadema ni wapumbavu sana ruhusa ya spika hiingilii muhimili wa mahakama ,nyambafu kabisa
Sent using Jamii Forums mobile app
Mwenyekiti wa CHADEMA ambaye pia ni mfanyabiashara maarufu mh Freeman Mbowe amezuiliwa na mahakama ya kisutu kwenda nchini Marekani, Uingereza na Uswisi kwenye shughuli zake za kibiashara.
Mkurugenzi wa uchaguzi CHADEMA John Mrema amesema Mbowe ambaye ni mbunge wa Hai amepewa ruhusa ya kusafiri na Spika wa bunge mh Ndugai lakini hakimu Simba na mawakili wa serikali wamemzuia kusafiri.
Mrema amesema Zuio hilo la hakimu Simba ni kinyume kabisa na hukumu ya mahakama kuu kuhusu masharti ya dhamana na ni ukandamizwaji wa maksudi wa haki za binadamu.
Source Ayo tv
Maendeleo hayana vyama!
Spika anafuata baada ya rais na ndio maana alitoa ruhusa, huyo hakimu anahangaikia uteuziChadema ni wapumbavu sana ruhusa ya spika hiingilii muhimili wa mahakama ,nyambafu kabisa
Sent using Jamii Forums mobile app
Na wewe kwa kukariri kasuku aende shule kwanzaBilionea anategemea ruzuku ya Chadema?